Sisi tunazungumzia bachelor brother cyo certificate wala diploma mkuuFirst ilishatoka muda sana na tusha sahau na second ishatoka muda sana kwa sasa watu wana anza kusoma next week kwa baadhi ya vyuo ila kwa ngazi ya certificate na diploma ila kwa second watu wa afya kilimo na ualimu ndo wanasubiria ila kwa vyuo vya serikali .Now ni toleo la tatu ndo wana finalize
Teh,teh,teh,teh, ila si tutakuwa tumekufa kiume kiongoziFIRST ROUND HAWAJAPATA MTU, mwaka huu wote wa diploma tutaingia chuo kikuu kama BEST LOSERS

Teh,teh,teh,teh, ila si tutakuwa tumekufa kiume kiongozi![]()
![]()
![]()