Kama kuna mtu ana mapenzi mema na rais amfikishie ujumbe huu....

​wote hao nasikia walitoroka milembe hawajamalizia matibabu wasamehe mkuu.
Mkuu inawezekana kweli nimetoroka mirembe au hata nimezaliwa chizi.
Lakini heri yangu mie mwendawazimu nayaona madhara ya utawala huu kuliko weye timamu unayesheherekea janga la utawala huu mbovu dhidi ya raia.

Ukiwa unapenda kusikia habari zinazokufurahisha HAKIKA utazipata ila ukitaka kuwa na msimamo kabiliana na UHALISIA wa changamoto ili kubadili mwenendo mbovu zoelevu.

....Kama una mapenzi naye mema KAMWAMBIE haya maneno
MENE, MENE
TEKELI
PERESI

Inawezekana nafasi bado ipo bado ya kuepusha yajayo
 
Hakuna linalofanyika ambalo Mmkkwere halijui au hajalifanyia maamuzi,Jk ni mtu aliyejawa na grudges zisizokwisha,kumbukeni maneno ya Sumaye 2005!
 
kwa mara ya kwanza nilikutana na Charles Taylor mwaka 1981 chicago ilikuwa mwezi june nikitokea cuba yeye alikuwa hapo chicago akimalizia mafunzo yake juu ya steganography na alikuwa ni informant wa CIA. na ni hao hao CIA waliomsaidia kutoroka gerezani huko boston mwaka 1985. hakuwa jambazi kama unavyodai.

Unasema nini? Jambazi tu ndio anaweza kutoroka.
 
Zomba amebadilisha jina,endelea kusoma utamgundua kwenye kauli zake,na infact kwani Zomba ni Nani,huyo ni Nape na sio mtu mwingine,ila anajitapa tapa sana ngoja tuone itakuwaje baada ya 2015
 
Unasema nini? Jambazi tu ndio anaweza kutoroka.


aaa!! haya kaka... nakufahamu wewe huwa unapenda kusoma vitabu tangu mwanzo labda kama umeacha siku hizi..basi hebu jitahidi kusoma historia ya huyu bwana unaemsema ni jambazi....vinginevyo unaweza kupata sononeko pengine kubwa kuliko lililompata hayati mwalimu siku alipowaunga mkono waasi wa huko Biafra maana kwa siku mbili mpaka tatu alishinda akirudia neno moja (''will africa understand'?'') kwa yeye kuwaungo mkono waasi wa biafra wajitenge na nigeria.... nasikitika kukwambia bado huna taarifa za ndani za huyu Charles taylor... tuishie hapo
 
ni kosa gani la jk, mbona mkt wetu mbowe ali muwangwE WANGWE HAKUCHUKULIWA HATUA. Au naye ataenda the hague mwakani.
 
unajua leo ukiwa una biashara yako alafu ukamuajiri ndugu yako, yule ndugu anaweza kuamua kufanya chochote pale ndani ikiwemo kuwatesa wafanyakazi wengine na wafanya kazi wengine watakaa kimya kwa sababu watajua huyo mtu ni ndugu wa bosi wao. Sasa serikali yetu imejaa ndugu na marafiki wa JK kwa hiyo unakuta mtu anajiamulia tu mambo lakini hawezi kuwajibishwa kwa sababu kila mtu anakua anajua hawa watu ni maswahiba wa mzee ndio maana hii nchi iko ilivyo sasa. Ukitaka nchi iendesheke vizuri chagua watu ambao sio ndugu wala marafiki ili kama rais awe na uwezi wa kuwakemea au kuwafukuza kazi.
 
Back
Top Bottom