Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,733
What if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa?
Huu unakua ni ufalaWhat if miaka inaenda unagonga 40 na mambo hayajakaa sawa sababu hamna guarantee kuwa utatoboa?