Kama kukumiss basi nakumiss kufa!!!!!

Kama kukumiss basi nakumiss kufa!!!!!

Asante sana Shemegi yangu charminglady (enzi zile nikikwita Charmy!)
Sichelei hata robosekunde kukofirm wewe u'shemeji wa ukweli ! Mbali u'mwananzengomwenza !
Mrokocitymwenza!
Kunichoropoa huku thirdworld nilipo na kunileta hapa firstworld si kazi ndogo!
Special thanks kwako! Nime acknowledge!
Btw nitaitendea haki kiu yangu kwako kuirespond hii Sred yako kwa Thrade !
Sijaridhika kuishia hapa kwenye comment!
Aidha ninao nearest members wengine wanikumbukao yamkini nao nahitaji kuwapa neno la shukrani . Nitawa mention kunako Thrade yangu ya shukrani .
Sijafanya hivyo kwa leo, kwakua niko ktk msiba wa Swaiba wangu mpenzi wa karibu sana tena sana na mie . Nitarejea hapa baada ya mazishi
Note ; vile vindege vyako viliivyokua vikikuamshaga vimehamia kwangu! .
 
Last edited by a moderator:

Huu ni uthibitisho kuws nimekumiss mpaka nakuota aisee sio kawaida, nimestuka saiv nikaingia hapa kuona kama umeitikia miito yangu....

Pole sana kwa msiba wa swahiba, may his soul rest in eternal peace!

Nasubiri kwa hamu sana....

C.C. Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Shemegi yangu charminglady (enzi zile nikikwita Charmy!)
Sichelei hata robosekunde kukofirm wewe u'shemeji wa ukweli ! Mbali u'mwananzengomwenza !
Mrokocitymwenza!
Kunichoropoa huku thirdworld nilipo na kunileta hapa firstworld si kazi ndogo!
Special thanks kwako! Nime acknowledge!
Btw nitaitendea haki kiu yangu kwako kuirespond hii Sred yako kwa Thrade !
Sijaridhika kuishia hapa kwenye comment!
Aidha ninao nearest members wengine wanikumbukao yamkini nao nahitaji kuwapa neno la shukrani . Nitawa mention kunako Thrade yangu ya shukrani .
Sijafanya hivyo kwa leo, kwakua niko ktk msiba wa Swaiba wangu mpenzi wa karibu sana tena sana na mie . Nitarejea hapa baada ya mazishi
Note ; vile vindege vyako viliivyokua vikikuamshaga vimehamia kwangu! .

Aisee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom