Kama kawaida yao!

Ok! Kwaiyo i think tumeelewana mama' inabidi tufate utaratibu wa kutangaza ndoa

Hee!!
Kumbe ndiko uliko kuwa unaelekea?
Wewe kila ukiamka Chit-Chat ni kutongoza tuuu...unituwe mieee...Shosti Madame B hebu kuja fasta pande hizi kuna mtu anahitaji kusutwa!!
 
Last edited by a moderator:
Becouse nakupenda' nipo tayali kwa jambo lolote lile Marry pls nielewe myn
Hee!!
Kumbe ndiko uliko kuwa unaelekea?
Wewe kila ukiamka Chit-Chat ni kutongoza tuuu...unituwe mieee...Shosti Madame B hebu kuja fasta pande hizi kuna mtu anahitaji kusutwa!!
 
Last edited by a moderator:
Achana na vurugu za kina madame B, njoo kwangu I promise utakua sehemu sahihi na salama Marry

Wewe mwanaume usiye na haya,unaye tishia hadi kubaka kwa nye.ge hufai kuishi na mwanamke.
UNITUWEEE!!!
 
Sumu c nitakufa jama Marry' mie nataka tuishi pamoja myn' jua nafsi yangu inateseka' juu yako, nakueleza haya koz toka kitambo nimevumilia kukufungikia' ila sasa nimeshindwa
Kama uko tayari kwa lolote,basi meza sumu kalale!!
 
Marry! know that am crying koz i love 4 u so much baby

If you Loved God that much,it would be the great advantage to you,for you would earn enjoyable life here on earth and Eternal life after physical death.
I have nowhere to take you manoah!!
 
Last edited by a moderator:
Sumu c nitakufa jama Marry' mie nataka tuishi pamoja myn' jua nafsi yangu inateseka' juu yako, nakueleza haya koz toka kitambo nimevumilia kukufungikia' ila sasa nimeshindwa

Unataka uambiwe nini ili uelewe kuwa SIKUTAKI?
 
Dah! Kweli God nampenda sana' na cku zote nilikua namuomba anijalie mke mwema, hatimaye kaniotesha kua wewe ndio mke mwema kwangu
If you Loved God that much,it would be the great advantage to you,for you would earn enjoyable life here on earth and Eternal life after physical death.
I have nowhere to take you manoah!!
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kweli God nampenda sana' na cku zote nilikua namuomba anijalie mke mwema, hatimaye kaniotesha kua wewe ndio mke mwema kwangu

That is nice.
Subiri anioteshe na mimi ndipo nitakwambia.
Kwani bhangi zenu za jioni zinawafanya vizuri!!
 
Bangi ctumii baby! We niamini mie, naotoshwa toka zamani' kua kuna mtu anaitwa Marry ndio atakua mke mwema kwako' na ninajua ni wewe tu. I hope utanielewa
That is nice.
Subiri anioteshe na mimi ndipo nitakwambia.
Kwani bhangi zenu za jioni zinawafanya vizuri!!
 
Ukinipa tunda ndio nitaamini hunitaki

Si wewe usemaye,ni SHETANI anayeishi ndani yako!!
Yesu anasema,"Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo,nami nitawapumzisha-Mathayo 11:28"
Njoo kwa Yesu manoah,mizigo hiyo ya tamaa za uzinzi na dhambi zingine ataiondoa nawe utakuwa huru.
 
Last edited by a moderator:
Sikia mpendwa! Mie, ukinikubalia kua mpenzi wako nitaokoka' na kumfuata bwana. Ukikataa basi naenda kujiunga na devil worshiper
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…