Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Marry Hunbig, ckia mie nimetokea kukupenda kutokana na life style yako. Love u ndugu
Na haki ya msingi kumuelezea hisia zangu kwake' pls Marry njoo huku PM
Unaonekana una msuli ... Haya speed zako kwa Marry Hunbig naziona pia..
Una lipi la siri la kunieleza PM?
Mbona PM kwenyewe sijakuona?
Naimani tutaelewana na Marry Hunbig
Oh! my dear kumbe hata wiki ujamaliza? Njoo huku ndani nikuambie
Enhee...sema sasa!!
Mimi ndio kwanza nataka nianze cha pili
Enhee...sema sasa!!
Bwana asifiwe sana!
Wewe unatakiwa uwe wangu' ili wenye wivu wajinyonge
Hee,ina maana tulikuwa bado hatujaelewana...lol!!
Wewe kiguu kiruka njia nitakupeleka wapi??