kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
wengine wako kuTV wanasubiria ManU apewe kibondo kingine na balotelli,leo fagason anapigwa saba bila dadadadeki
Manoah tumepumzika Bwana, acha hizo na wewe kapumzike eti.
View attachment 74184View attachment 74185View attachment 74186View attachment 74187View attachment 74188
View attachment 74189
Mpaka dakika hii imekula kwako
Huyu mzee atakufa kwa F/A
1 Corinthians 13:48a
Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not delight in evil but rejoices with the truth. It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres. Love never fails ..
wengine wako kuTV wanasubiria ManU apewe kibondo kingine na balotelli,leo fagason anapigwa saba bila dadadadeki
Na haki ya msingi kumuelezea hisia zangu kwake' pls Marry njoo huku PM
Ah,ndio nimetoka church Ousofia.
Napenda kuitumia Jumapili kuutafakari uzuri wa Mungu na ukuu wake.
eenh baada ya hiyo ndoto matokeo yamekuaje?
Nafumba macho yangu nisione mambo ya kikubwa
Hivi tunafahamiana Marry Hunbig?
Kama kawaida' yangu