Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Marry weekend wapi baby girl!
wengine tunajibu thread yako. habari ya wewe?
Wengine wameshalipia guest wanamsubiri maureen
Marry weekend wapi baby girl!
Umejuaje .......
Jamani si tuutafakari pamoja,kuwa pamoja nayo raha somo linaeleweka
Huna market wewe' ndio maana unatanga tanga humu jf, wenzako wanakula mi utamu
wengine tunajibu thread yako. habari ya wewe?
Jamani si tuutafakari pamoja,kuwa pamoja nayo raha somo linaeleweka
Maisha ni zaidi ya zinaa.
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa,bali WAPUMBAVU hudharau hekima na adabu-Mithali 1:7.
Badili mtazamo ndugu yangu manoah,umkubali Bwana Yesu leo aingie maishani mwako na kukuokoa.