Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,122 Reaction score 38,778 Nov 21, 2015 #2 Nampenda Sana Ben, Kwenye Huu Mchezo Ka Director Vizuri Mno
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,752 Reaction score 33,966 Nov 21, 2015 #3 hao ndo wazee wa kazi,wanaijua nchi nje ndani
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,976 Nov 21, 2015 #4 mshana jr said: View attachment 306884 Click to expand... Naona mkuu majeraha ya Oct 25th bado hayajapona na bado unataka kijitonesha kwa kuongeza chumvi kidondani
mshana jr said: View attachment 306884 Click to expand... Naona mkuu majeraha ya Oct 25th bado hayajapona na bado unataka kijitonesha kwa kuongeza chumvi kidondani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 21, 2015 Thread starter #5 DuppyConqueror said: Naona mkuu majeraha ya Oct 25th bado hayajapona na bado unataka kijitonesha kwa kuongeza chumvi kidondani Click to expand... Una uhuru wa kuchangia kutokana na mtazamo wako kitu ambacho ni sahihi
DuppyConqueror said: Naona mkuu majeraha ya Oct 25th bado hayajapona na bado unataka kijitonesha kwa kuongeza chumvi kidondani Click to expand... Una uhuru wa kuchangia kutokana na mtazamo wako kitu ambacho ni sahihi
Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,419 Reaction score 82,422 Nov 21, 2015 #7 Akiwa kwenye porojo zake anajidai kuwaponda,akiwa nao ndio hivyo.... Ni wajinga wanaoweza kuamini kuwa Magufuli atayafanyia kazi aliyoyasema jana kwenye hotuba yake,tena akiwa chini ya CCM.
Akiwa kwenye porojo zake anajidai kuwaponda,akiwa nao ndio hivyo.... Ni wajinga wanaoweza kuamini kuwa Magufuli atayafanyia kazi aliyoyasema jana kwenye hotuba yake,tena akiwa chini ya CCM.
Abeid Apple JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 263 Reaction score 79 Nov 22, 2015 #8 Hamna kazi hapo