Kama JPM anazindua miradi yote, hili dude ni la nini sasa??

Wangefanya duplicate nyingi ndogondogo wawape viherehere wawe wanazunguka navyo kwenye miradi yao hapo hapo.
Ifike wakati liwekwe auction tuone litafika shilingi ngapi
Hivi kwa kukadiria utanunua kwa bei gani seriously
 
Back
Top Bottom