Kama huu ni Uzushi usisome!!

really i cn die kwa ajil ya mafisadi.hv jamani watu hawaoniiiiiiiii?au ni elimu ndio haijafika kwa wananchi au ni kip kinachofanya watu wa mikoa ya moro,tanga mtwara na mingine kama hiyo kuwapa kura watu wasiowajali?JAMANI TUFANYEJE TUYATOE HAYA MAFISADI?YAMESHAJONGEA MJENGONI......nawaambia mwaka huu chenge akishika uspika hutokaa usikie ufisadi ukizungumzwa wala hutosikia mambo ya rushwa kubwa kama hizo yakipekenyuliwa LAZIMA yazuiliwe chinichini.nionacho ni hiki chenge atajifanya kumpondea sita na akiukwaa tu TUTAKIONA.
 
Naomba hayo yatokee ili chadema 2015 ipite bila kupingwa.
 
:israel:sipati picha bado.
haya yanawezekana. kwani cha ajabu ni kipi? kama sofia aliwahi kuwa waziri wa utawala bora Rostam atashindwa nini? Kama nafasi hiyo alipewa Masha kwanini Makamba asipewe? Chenge alipokuwa anabwata na waandishi wa habari huoni kuwa alishakuwa na taarifa hiyo ya TAKUKURU tayari? kwa nini siku moja baadye Takukuru waje na taarifa ya kumsafisha? kwani kuna uhusiano gani wa karibu kati ya Chenge na TAKUKURU? au kale ka ukanda kwa maana ya USUKUMA (chenge, hosea, dpp)kameanza kufanya kazi?
msimamo wa chenge juu ya nani anafaa kuwa spika yana maana nzito. kwa uelewa wangu mdogo spika anatakiwa kukilinda chama chake na serikali hata kama kinacholindwa ni madudu. angekuwa spika kipindi kilichopita haya yote ya richmond, meremeta, epa nk yasingepewa nafasi. yangebakia kuwa siri kuu. na hili ndilo lengo hasa la mkakati wa kimaliza SS.
 
sipati picha ila ukweli ni kuwa kwa JK kila kitu kinawezekana
 
hapo sasa itabidi tuhamie Afghastan, Somalia, Sudan au Iraq. Maana TZ itakuwa haifai tena kuishi kwa safu hii
 
So you mean list aliyoitoa Dr. Slaa mwembe Yanga ndo ikamate sehemu zote muhimu???? NO WAY...na kama kukiwa na way then itakua ni vita........vita hii itaanzia kwenye family levels....Njaa itatupambanisha sote...koz majority shibe itakua BONGE LA MSAMIATI....hakuna cha graduate wala Prof....asilimia 98 itakua inasota na Ubao au nenge au njaa..........

Kifupi wapanue magereza zote nchini koz wahalifu wataongezeka kwa zaidi ya speed ya ndege....................ITAKUA BARRRRAAAAAAAAAAAAA..
 
si mlichagua ccm, wala msishangae na km hukupiga kura basi endelea tu kusikilizia maumivu na bd mpaka karamagi na yeye atasafishwa hahaaa. yaani hii miaka 5 ya mwisho wa tz tumekwishaa hakuna lolote litalofanywa zaidi ya kulipiza visasi tu.wenzenu toka tumchague mnyika kuwa mbunge wetu wiki ya pili sasa maji hayatoki, naona ccm wanalipiza kisasi.
 

Huu ni uzushi uliokidhiri wa posts zote nilizosoma katika saa 24
 
Kwa kwel mkickia nimekufa ghafla _wana Jf mtambue ni kwa ajil ya utekelezaj wa hiyo shame list_ivo mumpeleke mh. Wa kaya mahakaman kujibu kes ya mauaji
 
Kwa kwel mkickia nimekufa ghafla _wana Jf mtambue ni kwa ajil ya utekelezaj wa hiyo shame list_ivo mumpeleke mh. Wa kaya mahakaman kujibu kes ya mauaji

Baada ya presha kuwa kubwa kutoka kwenye media, Chenge na kambi yake wanadai bora apewe Job Ndugai kama yeye atakosa Kuliko Samwel Sita kurudi kwenye kiti.

Chenge anadai kuwa ubunge wao yeye, Rostam na wenzao utakuwa mchungu sana kama Sita atarudi.

Kwa jinsi Job alivyo makini, kusema bora apewe yeye kunadhihirisha Chenge anagombea kutaka kisasi na si kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…