Kama Hutaki Acha

Ni kweli mkuu lazima wakubali hata kwa kuchapwa
 
Mnataka mtupe hata presidaa mgonjwa??? Hatutaki gharama ya kurudia uchaguzi??
 
Mnataka mtupe hata presidaa mgonjwa??? Hatutaki gharama ya kurudia uchaguzi??
Nani ka kuambia nazungumzia mambo ya uprezidar hapa,

hapo nimewapanga kwa umri tu : mwinyi born 1925, Mkapa 1938, Kikwete 1950, Lowasa 1953. Mambo ya nani atakuwa raisi hayanihusu kwa maana hata kura sitapiga,

NI MTAZAMO TU.
 
Mbona 5 anaoneka kuchoka zaidi hata ya 2!? Na hapo ndio ngwe haijaanza.
Sawa, waweza usiwe mtabiri lakini wasi wasi wangu ni pale wale watu waliopangwa TISS, JWTZ, NEC, Polisi ili kufanikisha hii safari wataendelea kusimama imara hadi hiyo 2015!?
 
Mnataka mtupe hata presidaa mgonjwa??? Hatutaki gharama ya kurudia uchaguzi??
Mbona hizo za maprezdaa wagonjwa tumezisikia tangu 2005? Mpeni nae nafasi
 
sikukatalii sana maana huwa kama mazingaombwe, msiye mtaka ndiye anatokea... yaaani kasheshe! Mungu atuepushe na haya majanga!
kaka majanga haya Mungu hausiki, ni sisi wenyewe na njaa zetu tu
 
Nani ka kuambia nazungumzia mambo ya uprezidar hapa,

hapo nimewapanga kwa umri tu : mwinyi born 1925, Mkapa 1938, Kikwete 1950, Lowasa 1953. Mambo ya nani atakuwa raisi hayanihusu kwa maana hata kura sitapiga,

NI MTAZAMO TU.

Hata kama ndio hivyo, umekosea mwaka waliozaliwa mzee Mwinyi na huyo 'mtu wako' pia!! Kajipange!!
 
Hata kama ndio hivyo, umekosea mwaka waliozaliwa mzee Mwinyi na huyo 'mtu wako' pia!! Kajipange!!

Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa 8 Mei 1925) alikuwa Rais wa Pili wa Tanzania kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Kabla hajachaguliwa kuwa Rais, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu Rais. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996.
Mwinyi alizaliwa kwenye kisiwa cha Unguja (Zanzibar).



Wakati wa urais wa Mwinyi, sera za Ujamaa zilianza kugeuzwa. Badala yake sera za soko huru zilianzishwa, masharti ya kuingiza bidhaa kutoka nchi za nje yalipunguzwa na uanzishaji wa biashara ya watu binafsi ulihamasishwa. Mwaka wa 1991, uanzishaji wa vyama vingi uliruhusiwa.
Sera za soko huru za Mwinyi zimeendelezwa chini ya Rais Benjamin Mkapa. Mwinyi mwenyewe, baada ya kustaafu, hakujiingiza katika mambo ya siasa tena. Anaendelea kuishi huko Dar es Salaam.


Edward Ngoyayi Lowassa (amezaliwa 26 Agosti 1953) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi wa nchi hii tarehe 30 Desemba 2005 na akalazimishwa kujiuzulu tarehe 7 Februari 2008 kwa kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi wa ufisadi katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kama mhusika mkuu.
Lowassa ni mwenyeji na mbunge wa Monduli katika Mkoa wa Arusha. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, halafu shahada ya pili katika sayansi kwenye Chuo Kikuu cha Bath (Uingereza).

Hizo ndo biography zao, kama wewe unajua tofauti tell us, inawezekana ni wajomba zako na unajua ukweli nyuma ya pazia. AND BY THE WAY, i have nothing to do with Ngoyai, Kama ningekuwa qualified kuwa mpiga kura in Tanzania, asingepata my vote.
 



Marekebisho,Mwinyi alikuwa rais wa zanzibar na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano kabla ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na si waziri wa Mambo ya ndani...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…