-Kipa anabadilika muda wa penati,
-Match inaweza chezeka kwa masaa 3+ bila kupumzika
-ili kubalance team wachezaji wazuri wanakaa golini wengine kati wanaanza kuita kikosi, ukiitwa mwishoni jua huna kiwango.
- 😀😀😀 kipimo cha sehemu ya kupigia penati inategemea na hatua za anayepima kama ni tall inaweza karibia na kati