Kama hujapitia huku umekosa raha

Kama hujapitia huku umekosa raha

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
1395757596156.jpg
 
du kweli utafiti, m nilikuwa mtaalamu wa kutenegeneza mabasi, leyland commet mwanangu, we acha tu, mtoto akinunuliwa pipi 2 lazima moja aniletee ili nimtenegenezee bus.
 
Hahahaa,kwenye mteremko ni noma!Tena kwenye tairi humo tulikuwa tunaweka vipande vipande vya ndizi mbivu kuondoa msuguano,niambie spidi yake sasa!

Asante utafiti umenikumbusha mbali sana!
sungura1980 kama ulibahatika kupitia huku basi ni vizuri
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa. Sipati picha ikifika kwenye mteremko.

Na mteremko ndio uwanja wenyewe sasa, ila usiombe ukadondoka katikati, utakua ndio break.
Nakumbuka kuna mwenzetu alianguka katikati tena la kwetu ilikua kiberenge cha tren. Tulikimbia wote tukamwacha akaja kuokolewa na watu wazima.

Aliumia vibaya sana mgongo na kuteguka mikono, achilia mbali michubuko ta maeneo mengine ya mwili. Lakini kama usemi wa Dr. JK, "upepo tu utaoita.." baada ya siku mbili tatu, tukarudi tena kwenye mambo yetu kama kawaida! Ahsante kwa kumbukumbu mujarab utafiti
 
Kumbe michezo inafanana
 
kaputura zilikuwa kila siku zinawekewa virakaaaaa....ukifika home unakula mboko ndo unaendelea na kazi za kawaida
 
Hahahaa,kwenye mteremko ni noma!Tena kwenye tairi humo tulikuwa tunaweka vipande vipande vya ndizi mbivu kuondoa msuguano,niambie spidi yake sasa!

Asante utafiti umenikumbusha mbali sana!

Dah, hiyo inaitwa physics with no school. Naturally tu watoto mnajua hapa inatakiwa kukabili friction ili kitu kiende kwa speed zaidi, na mnapata solution faster!
 
Umenikumbusha na michezo mingine niliyopitia ikiwemo gololi,tiali bado,kidali na kibaba baba na kimama mama dah kweli maisha yanenda kasi sana.
 
du kweli utafiti, m nilikuwa mtaalamu wa kutenegeneza mabasi, leyland commet mwanangu, we acha tu, mtoto akinunuliwa pipi 2 lazima moja aniletee ili nimtenegenezee bus.

Ujuzi wako umeishia wapi tena? Ungeendeleza tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umenikumbusha rusumo wilaya ya ngara Mh full shangwe enzi hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom