Huyu mama yake yuko wapi amtandike bakora ili aende kavaa nguo. ..duh..hapana kabisa
HahahaAfu unakuta na mtoto wa kiume anavaa bila aibu akipapaswa kalio wala hashituki anasema niongeze...serikali iangalie na suala la mavazi mana vijana wanayagombania kila kitu wanaiga hadi basi na sisi wafanyabiashara hatuwezi Acha kuwauzia mana tunataka hela
Hatari tupu....
Ukimchokoza Sir God lazima akupigie, time will tell.
MakubwaaaaaaaaaaUkimchokoza Sir God lazima akupigie, time will tell.