Kama hizi ni fashion basi vijana wengi wa sasa ni vichaa

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,450
faea506d28343c6061dda459329c95d9.jpg

b6e4f74025ecc7a69c8526f8fab93cd7.jpg

Huu ni usasa au ukichaa?
Hivi unakwenda kutoa pesa yako kweli kununua nguo kama hiyo?
 
Hapa ndiyo utaelewa sasa ni kwa nini waziri mkuu na mkuu wa mkoa wa Dar (Serikali kwa ujumla) wamepiga marufuku uvutaji wa shisha na madawa ya kulevya.

Dah hatari sana
 
Afu unakuta na mtoto wa kiume anavaa bila aibu akipapaswa kalio wala hashituki anasema niongeze...serikali iangalie na suala la mavazi mana vijana wanayagombania kila kitu wanaiga hadi basi na sisi wafanyabiashara hatuwezi Acha kuwauzia mana tunataka hela
 
Hahaha
 
Dah!! Yani mpaka wanatia huruma.. kama hawana uwezo si wanunue hata za mtumba..
 
Back
Top Bottom