GE2015 Kama hii ni kweli, then Serikali yetu ni dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Wanabodi,

Kupitia kwa Magufuli, Tanzania itapata neema, mafanikio na maendeleo makubwa ya ajabu kwa sababu ya baraka za Mungu zitakuwa juu yake, nchi yetu inakwenda kageuka kuwa ni ile nchi ya ahadi ya maziwa na asali.

Neno litasimama, mambo mengine yote yatapita, lakini neno litasimama!.

Paskali
Mama Samia amekuja kukamilisha kazi ya Magufuli, hizi neema na baraka nilizozitaja hapa, sasa zinakuja kukamilishwa na Mama Samia.

Huu utumbuaji wa leo, ni uthibitisho sasa kupitia kwa Mama Samia, Tanzania itapata neema, mafanikio na maendeleo makubwa ya ajabu kwa sababu ya baraka za Mungu zitakuwa juu yake, nchi yetu inakwenda kageuka kuwa ni ile nchi ya ahadi ya maziwa na asali.

Sema safari hii Ukuu wa Wilaya lazima Kaka yangu ondoa shaka usinisahau kwenye Ufalme wako...
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa haki, na badala yake huja na tuhuma za kuibiwa kura, kupokwa ushindi halali, na kususia matokeo, hivyo bandiko hili ni swali, Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia. Na kama sii kweli, ni uzushi tuu, then tutamshuhudia huyu mzushi anayemzushia rais Magufuli na serikali yake kuwa ni madhalimu, kwa kumtwisha tuhuma za udhalimu, akitandikwa na bakora za karma, kwake yeye binafsi na kwa chama chake, huku Rais Magufuli, Chama chake na serikali yake, wakibarikiwa, nchi yetu ikibarikiwa na kupata neema na ustawi.
Pascal nasikitika kukuambia kuwa
Hua nashindwa kukuelewa unashindwaje kuielewa CCM jinsi inavyowatendea wapinzani kinyume kabisa na matakwa ya katiba na wewe unakaa kimya tu.
Mkuu lee van cliff , karibu mitaa hii uone kimya changu.
P
 
Wanabodi,

Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja Bandiko, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika kwa ushauri huo, na jee kulisaidia JPM? Kulisaidia nini?

Kwa vile JPM alikuwa ni mbabe kwa kufanya baadhi ya mambo kibabe, hadi kutafsiriwa ni dikiteta, hivyo baadhi ya ushauri kwa JPM pia ulitolewa kibabe kwa kumpiga Spana za kutosha, ila tukubali tukatae, Spana za JF zilimsaidia sana JPM na kulisaidia taifa.

Kumuenzi JPM, naomba tujikumbushe baadhi ya mabandiko, tuliwahi kushauri nini kwa kuandika nini na kutoa ushauri wa nini kifanyike, na kufuatia ushauri huo, nini kilifanyika na jee kilimsaidia JPM?kilimsaidia kivipi?. Jee kililisaidia taifa?, kililisaidia kivipi?

Hili ni moja ya mabadiliko hayo ambalo limemsaidia sana na kulisaidia taifa.

Na mwisho kwa vile sasa Samia ndie Rais wetu, JF tunapaswa kuendelea kutimiza wajibu wetu kwa kumsaidia Samia, kwa vile JPM alikuwa ni rais mbabe vivyo hivyo ushauri ulitolewa kibabe, lakini Samia no Mtaratibu, mstaarabu, jee licha ya utaribu na ustaarabu, Mama Nate tumpige Spana kama za JPM? au twende naye taratibu kama alivyo, kwa Mama iwe ni kumkuna tuu, na tusimpare kama alivyo shauri mwenyewe, kuwa ukinikuna vizuri nitakukuna ila ukinipara, nitakuparua?

Mabandiko mengi ya kuwakumbuka marehemu huishia kwa RIP kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi kwavile wanakuwa hawajui marehemu yuko wapi,, lakini mimi kwa vile tayari nimeisha kulishwa JPM yuko wapi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani bado kuna haja ya kuendelea kumuomba Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi huku tayari najua yuko peponi?.

Pumzika Magufuli Pumzika! Tutakukumbuka Daima!

Paskali!
 
Kulikuwa na udhalimu gani? Maana ukisema udhalimu, je wewe ukuwahi kuandika au kukosoa kipindi hicho?

Na huyo anayemuita dhalimu alikuwa akujua? Na alikufanya chochote kibaya?

Tusipende kuongeza chumvi kama alikuwa kiongozi katili na hafai
Karibu
P
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa haki, na badala yake huja na tuhuma za kuibiwa kura, kupokwa ushindi halali, na kususia matokeo, hivyo bandiko hili ni swali, Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia. Na kama sii kweli, ni uzushi tuu, then tutamshuhudia huyu mzushi anayemzushia rais Magufuli na serikali yake kuwa ni madhalimu, kwa kumtwisha tuhuma za udhalimu, akitandikwa na bakora za karma, kwake yeye binafsi na kwa chama chake, huku Rais Magufuli, Chama chake na serikali yake, wakibarikiwa, nchi yetu ikibarikiwa na kupata neema na ustawi.

Hili ni bandiko la kauli ya Lowassa baada ya uchaguzi Mkuu wa 2015.
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa haki, na badala yake huja na tuhuma za kuibiwa kura, kupokwa ushindi halali, na kususia matokeo, hivyo bandiko hili ni swali, Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia. Na kama sii kweli, ni uzushi tuu, then tutamshuhudia huyu mzushi anayemzushia rais Magufuli na serikali yake kuwa ni madhalimu, kwa kumtwisha tuhuma za udhalimu, akitandikwa na bakora za karma, kwake yeye binafsi na kwa chama chake, huku Rais Magufuli, Chama chake na serikali yake, wakibarikiwa, nchi yetu ikibarikiwa na kupata neema na ustawi.

Naomba kuanza na angalizo. Hli ni bandiko swali la dhana tuu ya kufikirika, hypothetical situation kuwa if A is true, then B is true, if A is not true, then B is not true!. Hivyo kwa wenye uelewa wa mashaka mashaka wa wengi wetu humu, msije kushangaa wakashindwa kukiona hicho kitangulizi cha "kama ni kweli", na kupelekea kudhania nimesema serikali yetu ni serikali dhalimu!, ninachosema hapa ni kama hii tuhuma iliyotolewa leo na Edward Lowassa ni kweli, then..

Tuhuma yenyewe imetolewa hapa
Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais - JamiiForums

Kama tuhuma hii ni kweli, then serikali ya rais Magufuli itakuwa ni serikali dhalimu, iliyoingia madarakani kwa njia ya udhalimu na uharamu, na udanganyifu wa kwenye sanduku la kura, kitu ambacho sio kizuri kwa mustakabali mwema wa nchi yetu, taifa letu na watu wake, kwa mujibu wa sheria ya karma. Karma ina uzuri wake na ubaya wake, uzuri wa karma ni lazima italipa!, ubaya wa karma, haiitandiki serikali as serikali, kwasababu serikali sio natural being, bali karma itawatandika viongozi wa serikali, waliohusika na udhalimu huu. Tatizo kubwa la karma katika kuwatandika, ni haina Mswalie Mtume wa kujali nani ni nani, ikianza kutembeza kichapo cha bakora, ni bakora tuu kwa kwenda mbele bila kujali nani ni nani!. Ubaya wa karma, haijulikani utalipiza lini, ila ikitokea alietenda udhalimu huu, ameitwa kuondoka duniani kabla ya kulipa deni lote la karma, then deni hili linahamia kwa familia yake!, kitu ambacho its not fair kwa mtu asiye na hatia kubebeshwa kufidia makosa ya mtu mwingine!.

Ila pia, endapo tuhuma hizi ni za uongo, ni za kupika na ni uzushi, then rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ndiye rais chaguo la Mungu kwa Tanzania aliyetangazwa mshindi siku yake ya kuzaliwa!, katika uchaguzi huru na wa haki, hivyo atasimama test in time, of which time will tell!.

Kupitia kwa Magufuli, Tanzania itapata neema, mafanikio na maendeleo makubwa ya ajabu kwa sababu ya baraka za Mungu zitakuwa juu yake, nchi yetu inakwenda kageuka kuwa ni ile nchi ya ahadi ya maziwa na asali.

Neno litasimama, mambo mengine yote yatapita, lakini neno litasimama!.

Mungu ibariki Tanzania.

Paskali

Kwa rejea mambo ya karma, karibu mitaa hii
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili
"Bora Katiba", Tuikubali!, Tusiichukie CCM!, Kwa Sababu
When Karma comes calling, she stings like a bitch
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanaz
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu ya Miujiza Ya Uponyaji kwa
Kada wa Ccm.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa haki, na badala yake huja na tuhuma za kuibiwa kura, kupokwa ushindi halali, na kususia matokeo, hivyo bandiko hili ni swali, Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia. Na kama sii kweli, ni uzushi tuu, then tutamshuhudia huyu mzushi anayemzushia rais Magufuli na serikali yake kuwa ni madhalimu, kwa kumtwisha tuhuma za udhalimu, akitandikwa na bakora za karma, kwake yeye binafsi na kwa chama chake, huku Rais Magufuli, Chama chake na serikali yake, wakibarikiwa, nchi yetu ikibarikiwa na kupata neema na ustawi.

Pasco
Pili: Wewe umekuwa sehemu ya kuitetea serikali ya ccm pale inapokiuka Sheria ktk uchaguzi na kudhulumu haki za wananchi za kuchagua na kuchaguliwa Je! Unaona unafaa kutoa ushauri wowote humu kuhusu haki za wananchi kikatiba?
Duh...!. Karibu mitaa hii uangalie utetezi wangu kwa serikali yetu ya CCM!
P
 
Wanabodi,
Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia.
Kama ni kweli hii miili inayo trends ni watu waliouliwa kwa risasi za moto za jeshi letu la polisi au vikundi vya mamluki, na wale watu wengine wote wanaotekwa, kuuwawa na kupotezwa akiwemo Humphrey Polepole, vinafanywa na 'wasiojulikana' na na kama matokeo ya uchaguzi kuwa watu milioni 32,678,844 walijitokeza kupiga kura na Mgombea wa Urais wa CCM akapata kura 31,913,866 ambayo ni asilimia 97.66% ya kura
kama matokeo haya ni matokeo ya kupika ile ya ki Nape Nape,
Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu!, Haramu! iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai? kwa kumwaga machozi, jasho na damu za Watanzania, hukumu ya karma iko juu yake na wahusika wake wakuu. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

Lakini kama ni kweli wananchi milioni 32,678,844 walijitokeza kupiga kura na Mgombea wa Urais wa CCM akapata kura 31,913,866 za halali ambayo ni asilimia 97.66% ya kura hivyo CCM imeshinda uchaguzi huu kihalali na kwa haki, na hizo maiti ni za watu waliouwawa na vikundi vya kigaidi vya wasiojulikana kweli kutoka nchi jirani, ambavyo vimejipenyeza nchini na kuwaua Watanzania ili kuichafulia serikali yetu ili kutusambaratisha kwa kuwachochea waandamanaji wazidishe hasira taifa lisambatike, lakini sio mauaji yaliyofanywa na askari wetu, kama alivyoelezs RC DSM,
Then, Serikali Yetu ni Serikali ni serikali safi, iliyoingia madarakani kwa kihalali kabisa, kwa kushinda kihalali, uchaguzi mkuu huru na wa haki, na hao waliouliwa, hawakuuliwa na polisi wetu au vyombo vyetu, then, serikali hii ya awamu ya pili ya Rais Samia, utabarikiwa, Rais Samia utabarikiwa, CCM itabarikiwa, Tanzania itabarikiwa kupata neema, ustawi na maendeleo, na Watanzania tutabarikiwa sana kupata maendeleo ya nchi yetu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali .
 
Kama ni kweli hii miili inayo trends ni watu waliouliwa kwa risasi za moto za jeshi letu la polisi au vikundi vya mamluki, na Kama matokeo ya uchaguzi kuwa watu milioni 33 wamejitokeza mgombea wa CCM akashinda kwa ushindi wa kishindo cha kura milioni 32, ambayo ni asilimia 98%, kama matokeo haya ni matokeo ya ki Nape Nape,
Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu!, Haramu! iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai? kwa kumwaga machozi, jasho na damu za Watanzania, hukumu ya karma iko juu yake na wahusika wake wakuu. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

Lakini kama ni kweli wananchi wamejitokeza kupiga kura, na CCM ikishinda uchaguzi huu kwa kura kihalali, na hizo maiti ni za watu waliouwawa na vikundi vya kigaidi kutoka nchi jirani, ambavyo vimejipenyeza nchini na kuwaua Watanzania ili kuichafulia serikali yetu ili kutusambaratisha kwa kuwachochea waandamanaji wazidishe hasira taifa lisambatike, lakini sio mauaji yaliyofanywa na askari wetu, kama alivyoelezs RC DSM,
Then, Serikali Yetu ni Serikali ni serikali safi, iliyoingia madarakani kwa kihalali kabisa, kwa kushinda kihalali, uchaguzi mkuu huru na wa haki, na hao waliouliwa, hawakuuliwa na polisi wetu au vyombo vyetu, then, serikali hii ya awamu ya pili ya Rais Samia, utabarikiwa, Rais Samia utabarikiwa, CCM itabarikiwa, Tanzania itabarikiwa kupata neema, ustawi na maendeleo, na Watanzania tutabarikiwa sana kupata maendeleo ya nchi yetu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali .
We mzee pumzika acha kuupaka udhalimu rangi. Nyeupe ni nyeupe na nyekundu ni nyekundu.

Kaiba kura
Kaua
Anajiapisha na jeshi

Hana uhalali
 
Wanabodi,

Kama Tuhuma Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu? iliyoingia madarakani kwa hila, udhalimu na ulaghai?. Kama ni kweli, then Hukumu ya Karma ii juu serikali yetu na viongozi wake waliohusika na udhalimu huu kwa karma kuwashughulikia.
Kuna watu wana utu hawawezi kushabikia uovu regardless kitakachowapata, najua wewe siyo miongoni mwao ndiyo maana maandiko yako mengi yanaegemea utawala dharimu.
Karibu kwenye baadhi ya mabandiko yangu kutetea udhalimu
P
 
Back
Top Bottom