Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
- Thread starter
- #21
kwanza na shukuru kwa uchambuzi au maoni yako ya ziada kwamba kinachogomba si hizo stahili bali ni kustahili kwenyewe kupata hizo stahili. watu wengine wanataka tuamini kila kinachosemwa humu ni kuzungumzia watu. Hii sheria ikipitishwa haitamhusu DK. M. Shein bali yeyote yule ambaye atakuwa Rais wa Zanzibar.UTITIRI WA THREADS DHAIFU ZENYE KUJIRUDIA MADA NA ZENYE KUJIKITA ZAIDI KWENYE TETESI ZIDHIBITIWE
Tutarajie mabadiliko hapa jamvini na tutafute kujizuia na ile kasumba ya kile kinachotakiwa kuwa ni POST tu za kawaida chini ya mada iliokwishainishwa ubaoni na badala ya KUKIMBILIA KUZITUNDIKA ukutani kama madai mapya na kisha kubuka kwa utitiri wa TREADS ZINAZOFANANA ambazo hazi uwezo wa kudumu zaidi ya siku moja kabla haijafa.
Kama tutakimbia Thread zinazotutaka kutumia mbongo zetu basi tuwe tayari kurudia makosa yaleyale ambayo sasa tuupigia kelele utawala uliopo madarakani kwamba unayafanya. Kwa nini tunapenda zile thread za ushindani kati ya "magwanda' Na "Magamba" kana kwamba dunia nzima ya Tanzania imejaa magamba na mwagwanda?