Kama hi inawezekana naomba mnijuze

Kama hi inawezekana naomba mnijuze

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
nataka niwe na uwezo wa kuona simu ikipigwa wakati line yangu ikiwa kwenye modem pia niweze kupokea...hii inawezekana?na kama inawezekana nafanyaje?
 
Kwa moderm za ttcl yote unaona na kupokea na huduma nyinginezo kama za simu ila kwa kuongea hakikisha computer yako ina microphone au waweza kuplug headphones zenye microphone wakati wa kuongea.
 
zantel pia unafanya kila ki2, unapiga, unapokea etc
 
Modem zote unaona simu ikiingia na inatoa mlio kabisa, ila unapaswa kuwa na headphone zenye mic (zina plug mbili, moja ya speaker na nyingine ya mic.)
 
nataka niwe na uwezo wa kuona simu ikipigwa wakati line yangu ikiwa kwenye modem pia niweze kupokea...hii inawezekana?na kama inawezekana nafanyaje?

kuna baadhi ya modem hazina trouble kama hy mfano walizoorodhesha wenzangu mfano zantel,ttcl mara nyingi hizi ni ZTE hvyo dashboard yake inakua na CALL option tho kuna za HUAWEI kama e173 n.k mpaka u update dashboard yake ndo utapa calling option!
 
Back
Top Bottom