Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

Maistro 1

JF-Expert Member
Sep 4, 2015
422
181
HIvi CCM haina wabunge wenye uwezo tena. Ridhiwani Kikwete kweli nae waziri kwa utendaji upi ?. Tanzania hii kujuana na undugunaization utaisha lini?, hata na Rose Migiro wengine wana hisa na uwaziri eti?, kuna mtu alinieleza kuwa huyu mama hajawahi kuwa mbuge wa kura za wananchi yeye ni viti maalum na kuchaguliwa na rais tu. Ila chakushangaza hakuna chochote remarkable alichotufanyia in short wakuu wana mbeba eti ni mtaalam wa sheria, ila kwa mtazamo wangu mimi huyu ni mzigo.

Hawa wote walioorodheshwa kwenye hili gazeti sioni kama wataenda kumsaidia Rais Magufuli. Naona wanaenda kutengeneza kambi za kuusaka urais 2025. Ningekuwa na uwezo ningemshawishi Rais Magufuli apige wote chini. Jamani tunataka kuona damu nyingine siyo hawa-hawa wengine wanatuhuma kibao. Namaliza kwa kusema hivi kama atatangaza baraza hili-hili la ajabu-ajabu. Natarajia press conference ya akina Tundu Lissu siku inayofuata.
 

Attachments

  • Mawaziri Wabovu.jpg
    Mawaziri Wabovu.jpg
    18.1 KB · Views: 7,159
haijalishi...tunataka utendaji bora chini ya jemedali wetu magufuli...yoyote yule alete ila mkataba ni sisi na magu thats all...
 
Nani alitegema Majaliwa atakua w.mkuu! Subiri hadi JPM atangaze baraza mwenyewe sio habari za haya magazeti uchwar?

Riz, makamba, Nchemba wote hawafai hata uwenyekiti wa kamati za bunge let alone uwaziri
 
Ivi CCM haina wabunge wenye uwezo tena. Ridhiwani Kikwete kweli nae waziri kwa utendaji upi ?. Tanzania hii kujuana na undugunaization utaisha lini?, hata na Rose Migiro wengine wana hisa na uwaziri eti?, kuna mtu alinieleza kuwa huyu mama hajawahi kuwa mbuge wa kura za wananchi yeye ni viti maalum na kuchaguliwa na rais tu. Ila chakushangaza hakuna chochote remarkable alichotufanyia in short wakuu wana mbeba eti ni mtaalam wa sheria, ila kwa mtazamo wangu mimi huyu ni mzigo. Hawa wote walioorodheshwa kwenye hili gazeti sioni kama wataenda kumsaidia Rais Magufuli. Naona wanaenda kutengeneza kambi za kuusaka urais 2025. Ningekuwa na uwezo ningemshawishi Rais Magufuli apige wote chini. Jamani tunataka kuona damu nyingine siyo hawa-hawa wengine wanatuhuma kibao. Namaliza kwa kusema hivi kama atatangaza baraza hili-hili la ajabu-ajabu. Natarajia press conference ya akina Tundu Lissu siku inayofuata.


Ntakuwa wa mwisho kuamini hizi pumba
huyo siyo mkwele mliyekuwa mnamdandia kama daladala, mambo ya kubashiri na kutabiri yalishakwisha, muachieni mrithi wa shekh nani yule sijui
hapo ni kazi tu, hizo nyingine ni mbwembwe, kwa JPM hakuna siri kuvuja
 
Sura zilizozeeka kwenye macho ya watanganyika hazitaki anataka sura mpya suala la utendaji litajikoki
 
Back
Top Bottom