Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
- Thread starter
- #61
Kabisa mkuu mambo ya utotoni huwa yanakuja kurudi ukubwani na kuathiri mahusiano.Hii imenipa somo kubwa sana katika kuwalea watoto kiusawa
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app