Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,946
- 55,959
OkayNdo sijajaaliwa
OkayNdo sijajaaliwa
Wote wamekuwa WAHA🤣🤣🤣Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Ungesema tu Dada,Asante sana ndugu
Barikiwa sanaHaha ngoja nirudie tena dada angu
Pole sana dada
We nae utafanya nighairi kukutongoza.
Nijikute tu.Aiseee,, kumbe upo kwenye mission...
Karibu, jisikie uko nyumbani....hakuna linaloshindikana chini ya Jua.
Nijikute tu.
🤣🤣🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Exactly. You made the best points on your comment. The chaos is growing now days. Relationships are flooded by sick minded individuals who pretend to be okay.Such a sensible thread lakini not many will heed to it.
Watu wengi wamekuwa hawana furaha ya maisha kwa kubeba mizigo inayotokana na childhood trauma. Kuna mahitaji (psychological) ambayo waliyakosa kutoka kwa wazazi au walezi wao na kuwaathiri katika njia moja au ingine.
Wanapokuwa na kuanza kuwa na wapenzi wanaowaonyesha mapenzi yule inner child ambae alilazimika kukua bila yale mahitaji anakuwa anatarajia kuyapata kutoka kwa mpenzi wake, kitu ambacho in reality hakiwezekani.
Ulichokikosa kwa mzazi wako sio rahisi mpenzi wako aki fulfill.
Au sometimes unakuta mahusiano fulani ya kimapenzi yalikuwa na manyanyaso fulani na yakaja kuvunjika. Sasa kabla ya kupona kutokana na maumivu hayo na kujifundisha kosa lilipotendeka unakuta tayari mtu kajiingiza kwenye mahusiano mengine.
Sasa kunakuwa na never ending chain of trauma, never healing, never letting go. Matokeo yake tunakuja kuwapa watoto wetu zile trauma na hivyo basi kuanzisha generation of damaged traumatized kids.
Ndugu, wataalamu wapo wa afya ya akili, psychologists na wapo kwa ajili ya kutusaidia kupona. Tuwatumie basi kwa kupata msaada katika masuala haya.
Samcezar big up sana. Nice thread.
Kama unajiona kabisa swaga zako kwenye mahusiano una mawenge mengi hebu nenda kaonane na therapist akupe msaada mahusiano sio sehemu ya maumivu tabia zetu ndio hutuletea maumivu na kuwaumiza wengine.Kwa hiyo twende kwa ma Psychologist?
Kabisa. Therapy ni muhimu. Watu wengi wameharibika tokea tokea utotoni. Wanakuwa wanavaa vizuri, wananukia vizuri, wanatabasamu ila akianza kuishi na mtu ndipo inajulikana kuwa kichwani hayupo sawa.Elimu ya bure kabisa hii...
Wengi wetu tunahitaji matibabu...tatizo therapy sio utamaduni wetu...[emoji6][emoji854]
Kimsingi mimi mtoto akija kunirepotia kuwa ndugu yake kamtendea jambo lisilo la haki kama kumnyima kitu au kumdhurumu au kumnyang'anya kitu huwa nakuwa mbogo sana na nitataka haki itendeke haraka sana.Wengine tushaathirika kabisa na malezi ya manyanyaso ya utoton,mi nakumbuka nikiwa kwa bibi nachunga ng'ombe nimechoka nina njaa kali narudisha mifugo home ghafla kaka(mtoto wa uncle) kanivuta na kunisukumiza kwenye mzinga wa nyuki,kiufupi ni rehema za Mungu maana ningekufa.Nilijenga chuki na kaka mpaka tunakua tunapata kaz tunakuwa na miji yetu nilishindwa kuachilia ile chuki(kafa mwaka Jana kwa kudondokewa na mti,I swear hakuna MTU aliyelia kwa maumivu na uchungu kama mimi..... sijui kwann but nililia mpaka nikaumwa na kupelekwa hospital maana tumbo lilikaza nikashindwa kutembea kabisa) Since miaka hiyo naaminigi wanaume ni katili sana(I was just 9 years only) TUSIWAACHE WATOTO MBALI NASI TUWALEE . ...Nimeanza kuishi na mama nikiwa na 11
Ni rahisi sana kujua kuwa una matatizo ya kitabia yanayotokana na makuzi yako ya utotoni maana tabia hazianzii kuharibikia ukubwani.Ubaya ni kwamba unaweza kuwa na tatizo na hujui kama una tatizo teh
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni rahisi. Changamoto ninayoiona ni kukosa elimu juu ya tabia zipi mbaya na zipi ni normal. Behavior disorder zipo nyingi. Labda kusaidia nitafanya kuandika uzi kuelezea kila moja ili tuweze kuzielewa kirahisi na kuweza kujua namna ya kufanya self diagnosis.Na huu ndio mtihani mkubwa kuliko ambao mleta uzi hajazungumzia...
InFact Kujijua una tatizo huwa ni ngumu sana kuliko hata kulitatua tatizo lenyewe....
Asante
Nadhani kamaanisha upande wa vile vitu vya kihisia mfano kupendwa. Kuna mtu hayazoea upendo wewe ukimpenda na kumjali anaona sio kitu muhimu.Kwahyo wanaosomesha wanajipendekeza tu...
Au fulfillment unayozungumzia ni emotional based only.!?
Hakika yaanKimsingi mimi mtoto akija kunirepotia kuwa ndugu yake kamtendea jambo lisilo la haki kama kumnyima kitu au kumdhurumu au kumnyang'anya kitu huwa nakuwa mbogo sana na nitataka haki itendeke haraka sana.
Kwasababu hivyo vitu vikiachwa chuki za utotoni huwa zinamea nakuwa kubwa utu uzimani.
Nina baba mdogo wangu haivi na dada yake hadi sasa ni watu wazima. Shida ilianza utotoni ni kuwa shangazi alikuwa anaachiwa maagizo ya kuangalia nyumba na kusimamia wadogo zake kipindi cha utotoni.
Sasa akawa anatumia authority hiyo kibabe na kuwafanyika wadogo zake majukumu kibabe na kuwapelekesha na ilitokea wakagoma wazazi wakirudi yeye atachomea utambi na wadogo watachapwa.
Sasa wamekuwa watu wazima na yule mdogo amekuwa na pesa ni meneja wa Tanesco ngazi ya mkoa,dada yake mambo si mazuri anaishi maisha ya kawaida sana. Sasa ikitokea jambo halafu dada mtu akataka kutoa sauti mdogo wake anasusa na hataki mtu amwambie lolote anakuwa mbogo.
Basi sababu ya pesa inabidi asikilizwe basi litakwenda namna anataka hataki majadiriano.
Kuna kipindi baba yao alikuja mjini kupata vipimo, dada mtu bila kumshirikisha mdogo wake alipanga safari ya mzee wao ya kuja Dar. Mdogo mtu akajua akamind sana. Alipofika akampeleka Hospital bila kuzungumza nae walipofika hospital akapewa vipimo, balaa kwenye kulipia akamtumia ndugu kumpigia simu mdogo mtu kumjulisha. Alichofanya hakwenda hospital akakaa kimya hadi walimrudisha mzee wao home kwa dada mtu. Ndugu kumuuliza mdogo mtu akatoa ya moyoni, basi wakabidi kujishusha yeye atoe maagizo.
So akaja akamchukua mzee wake na dada yake wakaenda hadi muhimbili kuendelea na matibabu. Ameenda wamekaa kufanya vipimo walipomaliza dada mtu sijui alitoka nje kutafuta nini mdogo mtu akatekenya gari huyooo kaenda na baba yake nyumbani kwake akamuacha.
Dada mtu anatoka anakuta washasepa. Kupiga simu haipokelewi. Akarudi na daladala.
Kwahiyo chuki huwa zinamea ni vema sana kuwatendea haki watoto wakiwa wadogo ili akikua anakuwa hana kinyongo na ndugu yake.
Duh[emoji17]Wengine tushaathirika kabisa na malezi ya manyanyaso ya utoton,mi nakumbuka nikiwa kwa bibi nachunga ng'ombe nimechoka nina njaa kali narudisha mifugo home ghafla kaka(mtoto wa uncle) kanivuta na kunisukumiza kwenye mzinga wa nyuki,kiufupi ni rehema za Mungu maana ningekufa.Nilijenga chuki na kaka mpaka tunakua tunapata kaz tunakuwa na miji yetu nilishindwa kuachilia ile chuki(kafa mwaka Jana kwa kudondokewa na mti,I swear hakuna MTU aliyelia kwa maumivu na uchungu kama mimi..... sijui kwann but nililia mpaka nikaumwa na kupelekwa hospital maana tumbo lilikaza nikashindwa kutembea kabisa) Since miaka hiyo naaminigi wanaume ni katili sana(I was just 9 years only) TUSIWAACHE WATOTO MBALI NASI TUWALEE . ...Nimeanza kuishi na mama nikiwa na 11
KabisaKama unajiona kabisa swaga zako kwenye mahusiano una mawenge mengi hebu nenda kaonane na therapist akupe msaada mahusiano sio sehemu ya maumivu tabia zetu ndio hutuletea maumivu na kuwaumiza wengine.
Ubishi sasa kumbe ubishi mwingine ni ugonjwa mtu anashauriwa cha maana ila yeye kwasababu anaa degree na anaye mshauri hana uwii anakuona kiazi kumbe yeye ndiye nazi bovuUbaya ni kwamba unaweza kuwa na tatizo na hujui kama una tatizo teh
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app