Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,941
EehTry me
EehTry me
Sawa sawaUkijitoa kwangu sitakuacha.
Yaani haviepukiki uongo umekuwa mwingi mno , ndo maana kila siku tunalalamika kutendwaVisinguzio vya kutendwa vimekuwa vingi sana sikuhizi
Yaani haviepukiki uongo umekuwa mwingi mno , ndo maana kila siku tunalalamika kutendwa
Aisee sio mabinti wote matapeli , wengine tunapenda na hatuchuni kiivyo ni visent vidogo kma nauli lkn tunaachwaNyie wenyewe matapeli mkizidiwa mnakuja kulalama humu, mnawaza kuwachuna wanaume hapo lazima mkomeshwe
Aisee sio mabinti wote matapeli , wengine tunapenda na hatuchuni kiivyo ni visent vidogo kma nauli lkn tunaachwa
[/Q
Mapenzi bila kuchwa hayanogi maana ndo unajifunza mapungufu yako na kuyarekebisha, ila wakati mwingine mnakaba sana hadi mwanaume anakosa raha ukipiga simu jamaa hapokei inakuwa kesi.
Ndo hivyo wanawake tunapenda attention na care ,
Ndo hivyo wanawake tunapenda attention na care ,
Siku hizi slay queens ni wengi mno,Sema wanawake mliozaliwa kuanzia 1990s kuja 2000s mnapenda hizo attention. Ila siku hizi wanawake wenye sifa za kuolewa ni wachache sana ingawa mabinti wengi ni wazuri wa sura na maumbo. Punguzeni mapenzi ya kimarekani
Wengi wana access ya vi smartphones na vi pc. Sasa ni huu utamaduni wa kuangalia movies sijui za wakorea sijui wafilipino. Zinapelekea vijana kuwa assimilitated na tamaduni ambazo haziendani na setting walizopo.Sema wanawake mliozaliwa kuanzia 1990s kuja 2000s mnapenda hizo attention. Ila siku hizi wanawake wenye sifa za kuolewa ni wachache sana ingawa mabinti wengi ni wazuri wa sura na maumbo. Punguzeni mapenzi ya kimarekani
Mimi huwa sina desturi ya kumlaumu mwanamke.Naona unataka kufukiwa na kifusi,, njoo ujaribu yatakayokupata tusilaumiane
Muda wa kuoa ukifika usianze kusumbua kuulizia dawa za nguvu za KiumeMi niko single kwa sababu nikijipigia nyeto yangu kiroho safi raha mustarehe hata sioni tena haja ya kuwa na huyo mwanamke
Kumbe mama cookie alikuwa anagwajimika kwa njemba nyingineWema wa mshumaa huo unamulika huku unaungua. Sindio mambo yenu mnayotakaga hayo, yani upigwe mashine freely ila wengine wakitaka pia ukagwajimike nao halafu mi nikae kwa kutulia.
Mambo ya mama cookie hayo yaliomshinda Iyobo.
Kwani singomaza wana upungufu gani, mkuu ?Wengi wao wamekula usichana wao vizuri tu na wakajikuta wamezalishwa na kuchwa sasa wanahaha kuolewa na waoaji hawataki singlemaza
Nije ?
Wengi wana access ya vi smartphones na vi pc. Sasa ni huu utamaduni wa kuangalia movies sijui za wakorea sijui wafilipino. Zinapelekea vijana kuwa assimilitated na tamaduni ambazo haziendani na setting walizopo.
Eeh mzee baba, hawa watoto wanakuwaga na wema wa mshumaa sometimes. Mtu anajifanya yupo real na wewe ila akipata upenyo anagwajimika na masela wengine kinyele kinyele matokeo yake hogo lilkimkolea anaanza visa tuKumbe mama cookie alikuwa anagwajimika kwa njemba nyingine
Waziri wa jeshi la ulinzi na kujenga taifa si alisema dawa ipo au nilimsikia vibaya ?Muda wa kuoa ukifika usianze kusumbua kuulizia dawa za nguvu za Kiume
Changanya na zakoWaziri wa jeshi la ulinzi na kujenga taifa si alisema dawa ipo au nilimsikia vibaya ?