Kama Haupo katika mahusiano huu uzi ni kwa ajili yako!

Aisee sio mabinti wote matapeli , wengine tunapenda na hatuchuni kiivyo ni visent vidogo kma nauli lkn tunaachwa
[/Q

Mapenzi bila kuchwa hayanogi maana ndo unajifunza mapungufu yako na kuyarekebisha, ila wakati mwingine mnakaba sana hadi mwanaume anakosa raha ukipiga simu jamaa hapokei inakuwa kesi.
 
Sema wanawake mliozaliwa kuanzia 1990s kuja 2000s mnapenda hizo attention. Ila siku hizi wanawake wenye sifa za kuolewa ni wachache sana ingawa mabinti wengi ni wazuri wa sura na maumbo. Punguzeni mapenzi ya kimarekani
Siku hizi slay queens ni wengi mno,
 
Sema wanawake mliozaliwa kuanzia 1990s kuja 2000s mnapenda hizo attention. Ila siku hizi wanawake wenye sifa za kuolewa ni wachache sana ingawa mabinti wengi ni wazuri wa sura na maumbo. Punguzeni mapenzi ya kimarekani
Wengi wana access ya vi smartphones na vi pc. Sasa ni huu utamaduni wa kuangalia movies sijui za wakorea sijui wafilipino. Zinapelekea vijana kuwa assimilitated na tamaduni ambazo haziendani na setting walizopo.
 
Wema wa mshumaa huo unamulika huku unaungua. Sindio mambo yenu mnayotakaga hayo, yani upigwe mashine freely ila wengine wakitaka pia ukagwajimike nao halafu mi nikae kwa kutulia.

Mambo ya mama cookie hayo yaliomshinda Iyobo.
Kumbe mama cookie alikuwa anagwajimika kwa njemba nyingine
 
Wengi wana access ya vi smartphones na vi pc. Sasa ni huu utamaduni wa kuangalia movies sijui za wakorea sijui wafilipino. Zinapelekea vijana kuwa assimilitated na tamaduni ambazo haziendani na setting walizopo.

Ndo wataishia kuchezewa na kuzalishwa bila kuolewa
 
Kumbe mama cookie alikuwa anagwajimika kwa njemba nyingine
Eeh mzee baba, hawa watoto wanakuwaga na wema wa mshumaa sometimes. Mtu anajifanya yupo real na wewe ila akipata upenyo anagwajimika na masela wengine kinyele kinyele matokeo yake hogo lilkimkolea anaanza visa tu
 
Back
Top Bottom