Kama Haupo katika mahusiano huu uzi ni kwa ajili yako!

Mimi nilijaribu kukaa miezi 4 bila demu,,nilikuwa na hasira sio ya Dunia hii yaani kila baada ya dakika 10 natamani nimpige MTU vibao
Hakuna uhusiano wowote wa kuwa single na hasira.

Kuwa na hasira ni matatizo binafsi unayotakiwa kuyatafutia tiba yake maalumu.
 
Niko singo kwa miaka kadhaa kwa sababu ya harakati zangu za kipesa,nina ndoto kubwa ambapo nishafikia hatua kadhaa.
Kwa sasa nipo na forex ndo imenifanya niwe busy kuliko.
Napenda sana muziki,huwa napenda kwenda club na kubambia mademu kupunguz nyegezi.
Nimejiwekea nikamilishe mambo makubwa nikiwa singo .
Hahahaha sasa kubambia unapunguza au unaongeza?
 
Mimi natafuta aliependa halafu hakupendwa, yani upendo wake haukujaliwa, akajaribu kila namna ikashindikana, akajiangalia mapungufu asiyaone, akamuomba Mungu pia ikashindikana.
Tukutane tu tuanze safari mpya, sichagui dini wala kabila ila mimi ni mkorofi ukinidanganya, ukinidharau, usithubutu kunitusi utaingia koma fasta. Karibuni.
Duh!
 
Kivipi?
Mostly wanaume ndio huanzisha mahusiano ya kimapenzi, sasa hutokeaje unazilazimisha?
Mazingira yapi hupelekea hiyo hali?
Tehtehteh.

Hivi mnajua na sisi huwakuna kipindi unajilazimisha umpende mtu inashindikana eeh? Hii haina uhusiano na uzuri.
 
Kivipi?
Mostly wanaume ndio huanzisha mahusiano ya kimapenzi, sasa hutokeaje unazilazimisha?
Mazingira yapi hupelekea hiyo hali?
Hapana tunaanzisha wote...muda mwingi tunamalizia mlipoanza tu.
 
Nipo single saiv kwa sababu
1, mi sipendi uongo sababu mi sio muongo
2, sipendi kusalitiwa sababu mi sio msaliti
3, sipendi kuhonga sababu mi sipo tayari kupokea hongo
4, sipendi kuumizwa sababu cjawahi kuumiza MTU
5, sipendi kuperekesha sababu mi hua siperekeshi MTU,

Note sababu hizo 5 kwa bongo hapa hakuna msichana ambae atakosa hata moja
Nami ninayemtaka awe hana hata moja
ko kumpata sio rahisi acha niwe single tu
Itabidi uumbe wa kwako tu mkuu
 
Back
Top Bottom