kama hauko serious hii si sehemu ya kupost | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama hauko serious hii si sehemu ya kupost

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mopalmo, Nov 25, 2011.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana Jf,nimekua sikosi hata siku moja bila kupitia jukwaa hili la biashara,limenijengea kujiamini kwa hali ya juu,nimejifunza mambo ya biashara mbalimbali,imekua kama lecture ya ukweli sana kwangu,ila kuna baadhi ya members hujifanya wanajua au wanaweza kufanya mambo flani au kuwa partner kwenye biashara flani na wakati mwingine huwa wanatoa namba ila ukimtafuta anaanza bla bla,mi ningewaomba kwamba hii si sehemu yao,hii ni sehemu ya watu serious kinachopostiwa huku ni kitu halisi hivyo wakae pembeni.
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kama mtu hajui kitu ni vyema anyamaze kuliko kujifanya unajua kumbe hajui lolote.
  Naunga mkono hoja mkuu
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu ukitaka pumba nenda chit chat na MK..
   
 4. LebronWade

  LebronWade JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Fo shoo,for shizzle! shida kuna kundi la businessman wannabees ambao bado wana-fantasize, wanaogopa kushika tope,hebu chukueni maamuzi magumu na tuwe serious....wakenya wanatusua sana coz wapo serious kwenye issues...no gimmicks,mia!!!
   
 5. k

  keke Senior Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisaa, kama hujui kitu kaa kimya waache wanaojua watoe comment zao... si ustaharabu huo
   
Loading...