Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,195
- Thread starter
- #101
Ata kama ule ule ata mungu mwenyewe anaweza kukuonea huruma kukuchoma pamoja na mzibua mitaroIla moto wa jehanamu ni ule ule, uwe ulizini na mmoja tu, ulikuwa kahaba, mzibuaji, mzibuliwaji, ulidokoa sh 100 ya bi mkubwa kiama kikikukuta hujatubu hakuna afadhali yoyote
