Kama haujawahi kula mgongo

Kama haujawahi kula mgongo

Dhambi ni sawa ila kuna zingine ni chukizo kwa muumba
Ikishaitwa dhambi tayari ni chukizo mbele ya Mungu kwa mujibu wa vitabu husika.
Hivi mkuu ukakutana na mtu aliyekuibia fedha nyingi alafu papo hapo ukakutana na mashoga wanafanya yao bila kuingilia uhuru wako utachukua hatua gani?

Kupambana na mwizi wako au mashoga ambao hata hawali kwako?
Kwanini uchukizwe na watu walioamua kutumia miili yao wapendavyo bila kumbugudhi mtu wakati yapo mengi ya kufanya?

Pombe anywe mwingine kulewa ulewe wewe
 
Sawa mkuu we endelea kuzibua mitaro chemba zisijae
 
haya mambo yameletwa na waarabu washenzi washenzi tu! Kwanza ni dhambi. Ukuryani kwetu hakukuwa na hiki kitu, tuliamini ukishafanya hivi ngombe zako wote wanakufa! na ilitusaidia kutunza maadili
 
Kwa tamaduni na mila za kiafrica ni mwiko au mkosi kufanya hivyo unajitafutia mabalaa tu
 
Back
Top Bottom