Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Jamani nimetoka kusikiliza CD moja ambayo kuna kijana anatoa ushuhuda kuwa watumishi wengi ni Freemason. Kijana huyu anasema kuwa baada ya kuokoka ameamua kuja kufundisha watanzania wajiepushe na makanisa haya. Alipoulizwa kuwa hao watumishi ni wepi? Hakuwataja ila akata dalili za kuwatambua watumishi hawa ambazo ni:
1. Haubiri mwingine zaidi yake kama hayupo wataweka CD ya mahubiri yake.
2. Hawapendi kujibu maswali kuhusu shetani
3. Kila wanapohubiri wanatumia alama za freemason kwa ujanja sana bila mtu kutambua.
4. Wanahubiri zaidi ujumbe wa kutoa.
5. Wanahubiri sana kuhusu mafanikio na kuwaaminisha watu kuwa watapata utajiri.
6. Wanaamka usiku wa saa tisa kuungana na waabudu wa shetani katika maombi nk.
KAMA HILI NI LA KWELI TUNAPASWA KUOMBA SANA.