Kama hali ndio hii,makanisani tunapaswa tukazane kuomba.

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
195
Jamani nimetoka kusikiliza CD moja ambayo kuna kijana anatoa ushuhuda kuwa watumishi wengi ni Freemason. Kijana huyu anasema kuwa baada ya kuokoka ameamua kuja kufundisha watanzania wajiepushe na makanisa haya. Alipoulizwa kuwa hao watumishi ni wepi? Hakuwataja ila akata dalili za kuwatambua watumishi hawa ambazo ni:
1. Haubiri mwingine zaidi yake kama hayupo wataweka CD ya mahubiri yake.
2. Hawapendi kujibu maswali kuhusu shetani
3. Kila wanapohubiri wanatumia alama za freemason kwa ujanja sana bila mtu kutambua.
4. Wanahubiri zaidi ujumbe wa kutoa.
5. Wanahubiri sana kuhusu mafanikio na kuwaaminisha watu kuwa watapata utajiri.
6. Wanaamka usiku wa saa tisa kuungana na waabudu wa shetani katika maombi nk.
KAMA HILI NI LA KWELI TUNAPASWA KUOMBA SANA.
 

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,711
1,225
Mbona hako kamchezo ka kupofua waumini kwa nguvu za kiza kameanza zamani tu!
Wewe ndio umetambua 2014?
...
Refer back 16 century AD, In Europe katika kipindi cha transformation frm feudalism to capitalism!
...
Wengewe ktk process zao za Accumulation of capital, apart frm holly (crusade) war ambapo!
Walitumia makanisa kuzuga watu na kuchukua mapato, ilikua ni lazima kuchangia!
Kuna ka sera walikatumia "Spend little invest more" walishawishi kutoa kwa wingi mwisho wa siku unakikuta ahera!
...
Wakaibuka kina Martin lutheran na wenzake wakapinga hiyo kitu na kuunda sect lao la Ukiristo!
...
Baada ya hapo Viongozi wa kikiristo wakaanza kupigwa vita wasiwe viongozi wa serikali!
...
Ebwana dah! Kila nikiandika kunakuja facts nyengine! But ukumbuke tu kutoa sio lazima!
...
Na ni kweli wengi wa viongozi wa kikristo hutumia uchawi kuzuga watu!
Akili kumkichwa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom