MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 877
- 1,781
Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa.
Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia.
Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia vipindi vigumu, ila sasa kwani wanashinikizwa kusifia ingali wameminywa wasikosoe?