Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Kwenu,
Wakuu jambo hill halileti mantiki. Imekwisha zoeleka kwamba wabunge na madiwani wa CHADEMA na CUF wanajiuzulu nafasi za vyama vyao na wanakimbilia CCM ili wagombee tena. Fedha, muda na rasilimali nyingine zinatumika. Hili ni la hovyo sana.
Fikiri kwamba madiwani wanajiuzulu. Wanachukua fomu na kujaza kisha kurudisha. Wagombea wengine wanagomea uchaguzi na kisha wengine wanawekewa pingamizi. Wanapitishwa wa chama kimoja, chama pekee.
Ni ajabu kuwa chama kilichopitishwa kikiwa pekee, kinafanya kampeni na kinapigiwa kura.
Kinashindana na nani?
Kwa nini Tume ya Uchaguzi isitangaze diwani moja kwa moja ili kuepuka gharama?
TS