Kama hakipo tuwe na kitengo cha maafa

Kama hakipo tuwe na kitengo cha maafa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,276
Reaction score
13,918
Mimi nilikuwa naishi Hosuton, TX na huko tulikuwa na mafuriko na vimbunga sana. Lakini kilicho saidia kulikuwa na kitengo cha nchi kinacho shughulikia maafa na kilikuwa na budget yake na mkurugenzi wake. Kama hakipo ningependa kupendekeza kiwepo maana hali ya hewa duniani imebadilika na haya mafuriko yatazidi kuongezeka kila mwaka.
 
Mafuriko ya Dar ni very predictable. Watu wanatakiwa tu kuhama kutoka mabondeni kwa hiari, nothing more nothing less. Watu wamejenga kuzuia mito njia zake kinachofanyika sasa maji yanasambaa tu na sehemu yote inakuwa mto.
 
Hapa kipo chini ya waziri mkuu, bajeti inatengwa kila mwaka lakini inaishia kwa makonda kutembea na hedikopta juu akiwachungilia wahanga wa mafuriko, badala ya kutumia hedikopta kuwaokoa watu
 
Kipo chini ya.ofisi ya waziri mkuu nafikiri....
 
Maafa tuliyonayo kwa sasa ni hawa wapinzani uchwara,na tutawashughulikia mpaka kieleweke.
 
Kikosi cha maafaa kishafanya yake 1.5trillion imepotea kuna maafaa makubwa zaid?
 
Amiri Jeshi Mkuu kazi yake ni kuamrisha vita tu? Sio kuokoa wananchi wake na maafa?

Kweli Rais wa wanyonge hajawatendea haki watu wa Dar....Kuna chuki kubwa sana kati yake na watu wa Dar

Jamani, Video zinaonekana watu wanaelea, Jeshi na Polisi wana Helicopter....

Serikali ijenge maeneo ya dharura ubungo au Kibaha, weka mahema na peleka misaada

Jamani..Rais huyu ana roho ya Jiwe au ubinadamu?

Sasa Maendeleo anayojitapa anamletea nani? kama watu wanakufa?
 
Mkuu bado hatujasahau mafungu ya bukoba yalivyopokelewa hadharani na kupotelea kusikojulikana aisee
 
Amiri Jeshi Mkuu kazi yake ni kuamrisha vita tu? Sio kuokoa wananchi wake na maafa?

Kweli Rais wa wanyonge hajawatendea haki watu wa Dar....Kuna chuki kubwa sana kati yake na watu wa Dar

Jamani, Video zinaonekana watu wanaelea, Jeshi na Polisi wana Helicopter....

Serikali ijenge maeneo ya dharura ubungo au Kibaha, weka mahema na peleka misaada

Jamani..Rais huyu ana roho ya Jiwe au ubinadamu?

Sasa Maendeleo anayojitapa anamletea nani? kama watu wanakufa?
Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.
Sasa mafuliko yakekuja bado tunasema hivyo hivyo..

Solution ni moja tu..watu wa mabondeni wakubali kubomolewa nyumba wahame au wakubali consequences za kukaa mabondeni...

Tofauti na hapo tutatafuta mchawi ni nani kumbe wachawi ni sisi tunaokaa mabondeni
 
Nyie wabeba box wa Houston kaeni kimya. Sisi huku tuna vipaumbele vyetu. Tunataka kila mtanzania apande ndege. We are busy buying brand new bombardiers for our people. Mambo ya mafuriko ya maji na kuzibua mitaro tutashughulikia baadaye.
 
Mimi nilikuwa naishi Hosuton, TX na huko tulikuwa na mafuriko na vimbunga sana. Lakini kilicho saidia kulikuwa na kitengo cha nchi kinacho shughulikia maafa na kilikuwa na budget yake na mkurugenzi wake. Kama hakipo ningependa kupendekeza kiwepo maana hali ya hewa duniani imebadilika na haya mafuriko yatazidi kuongezeka kila mwaka.

Kipo china ya raiusi au waziri mkuu kama sikosei
 
Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.
Sasa mafuliko yakekuja bado tunasema hivyo hivyo..

Solution ni moja tu..watu wa mabondeni wakubali kubomolewa nyumba wahame au wakubali consequences za kukaa mabondeni...

Tofauti na hapo tutatafuta mchawi ni nani kumbe wachawi ni sisi tunaokaa mabondeni
Acha kuongea matapshi. Watu walibomolewa mabonden, serkal ikajenga ofice za UDART.
 
Alipokuwa anabomoa nyumba tulisema hivyo hivyo tukaenda mahakamani tukashinda.
Sasa mafuliko yakekuja bado tunasema hivyo hivyo..

Solution ni moja tu..watu wa mabondeni wakubali kubomolewa nyumba wahame au wakubali consequences za kukaa mabondeni...

Tofauti na hapo tutatafuta mchawi ni nani kumbe wachawi ni sisi tunaokaa mabondeni

Angalia hali za binadamu wewe aisee, ndio ahame tu, aende wapi? Ana pesa za kujenga nyumba ingine?

Serikali imepima ardhi hata angalau mabwepande au Kigamboni ikawapa ili wajenge nyumba za Tope?

uwe na utu aisee....usiongee tu kwa jumla jumla

Kipindi kile wachache sana walipewa ardhi...Wengi hawakupewa

Na tangu kipindi Kile, Serikali haikuweka miundo mbinu ya kupeleka maji baharini kwa urahisi
 
Back
Top Bottom