Kama haikuhusu, Pita Kimya Kimya

Ooyooo ni sawa haituhusu lakini wengeni ni wambia sasa hapo itakuwa vipi na wambia pashikuna na wengenio hawataweza kupita kimya kimya na bila waha huwa hapanogi
 
Hilo neno oyooo linamaanishaga nini kwenye comments zako!!!!!!
 
Ni neno kama Hi au Hey lakini inabidi Oyoooo litumike kwa marafiki zako wa karibu sana. siooo wote wanaipenda mfano mtu akiniita hivyo mtaani labda awe mtu wa karibu (Kirafiki) KOMA KUTAJA NENO OYOOOO ewe makubazi!
 
Ooyooo ni sawa haituhusu lakini wengeni ni wambia sasa hapo itakuwa vipi na wambia pashikuna na wengenio hawataweza kupita kimya kimya na bila waha huwa hapanogi

ooyooo,wengeni,wambia na waha ni vyombo gani hivyo?.mana nime google kujua maana ya hayo maneno nimetoka bila majibu.au ndio mambo ya "tachi sikirini" za kichina?.lmao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…