Kama Dr. Bashiru alitokea CUF ile ya " Ngangari" atakuwa ni mtu makini CCM isimchukulie poa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
CUF " Ngangari" ndio walikuwa wanampa Nondo Dr Slaa ili azimwage bungeni kwa sababu walikuwa hawamwamini KUB wao Hamad Rashid

Nasikia Dr Bashiru kachafua hali ya hewa huko CCM ila Sijui kaongea nini

Yote kwa Yote CUF Ngangari Ilikuwa noma ndio hawa akina Lwakatare wa Chadema

Ngoja nitafute hiyo clip ya Bashiru

Sabato njema!
 
200 (10).gif

Hii Mechi SG fc wanapigwa 5 bila
 
Bashiru ana ndimi mbili. Kwangu mie si mtu wa kuaminika kwani leo anasema hivi kesho akipata madaraka anaimba mwimbo mwingine ambao ni hatari kabisa. Weka mbali na watoto. Hata hivyo huyo ni kijana wa JPM.
 
Bashiru ni mlevi wa madaraka kwisha,asante mchambuzi wetu.
 
CUF " Ngangari" ndio walikuwa wanampa Nondo Dr Slaa ili azimwage bungeni kwa sababu walikuwa hawamwamini KUB wao Hamad Rashid

Nasikia Dr Bashiru kachafua hali ya hewa huko CCM ila Sijui kaongea nini

Yote kwa Yote CUF Ngangari Ilikuwa noma ndio hawa akina Lwakatare wa Chadema

Ngoja nitafute hiyo clip ya Bashiru

Sabato njema!
Kama kuna chama cha upinzani Tanzania, CUF au CHADEMA na kinataka kurudi ktk chati, Ally Bashiru ndio karata sahihi...
Bashiru ana ideology ya chadema ile ya Slaa...
 
Alipoteza kuwa mtu makini aliposhindwa kusimamia anachokiamin alipokuww na mwenda zake...

Wabongo wanaishi maisha ya kusahau ya jana na kuishi maisha ya kutegemea mambo ya leo..

Hatupaswi kuisahau jana inapaswa tuitumie kama funzo kuiboresha leo yetu..

Lakini utaona kiongozi aliyefanya madudu jana anaitwa shujaaa kwa kukosoa au kutenda mazuri leo.. bila kupimwa weledi wake
 
CUF " Ngangari" ndio walikuwa wanampa Nondo Dr Slaa ili azimwage bungeni kwa sababu walikuwa hawamwamini KUB wao Hamad Rashid

Nasikia Dr Bashiru kachafua hali ya hewa huko CCM ila Sijui kaongea nini

Yote kwa Yote CUF Ngangari Ilikuwa noma ndio hawa akina Lwakatare wa Chadema

Ngoja nitafute hiyo clip ya Bashiru

Sabato njema!

Mbona Rwakatale katokea CUF kwenda CHADEMA na baadae kurudi CUF.
 
Wassira peke yake anawazidi Akili Chadema wote mkiziunganisha pamoja

Huyu wassira au mwingine. Aliyesema CHADEMA itakufa 2015 halafu yeye ndiye kaja kupigwa chini ubunge?. Mpaka leo ubunge anausikia kwenye tv. Kafa kisiasa baadala ya CHADEMA.
 
Kama kuna chama cha upinzani Tanzania, CUF au CHADEMA na kinataka kurudi ktk chati, Ally Bashiru ndio karata sahihi...
Bashiru ana ideology ya chadema ile ya Slaa...

Cha kwanza bashiru ajenge suluhu na CHADEMA. Maana ideology yake ni ya kipinzani ila tatizo ni kwamba wakati wa CHADEMA wanafanyiwa vitendo visivyo vya kibinadamu, yeye alikuwa upande wa watesi.
 
Back
Top Bottom