johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,532
- 141,331
Ninafahamu kuwa kabla ya kuwa katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru alisimamia zoezi la kukagua mali za chama na ripoti yake anayo yeye mwenyewe.
Nadhani ingependeza kama ripoti ile ingesomwa mbele ya wanaccm ili wajue chama chao kinamiliki nini.
Yasijekutokea kama yanayomkuta Prof Lipumba leo aliyeamini Cuf ina majengo lukuki kumbe mali zile zinamilikiwa na watu binafsi ambao ni wapemba.
Lipumba amejikuta anabakia na majengo 3 tu kati ya 42.
Tukumbuke kuwa maeneo mengi ya CCM yalikodishwa kwa wafanyabiashara wakubwa na mengine kwa miaka zaidi ya 80 ndio yatarejea kuwa mali za CCM.
Chukulia mfano flemu za CCM wilayani pale Kinondoni mkwajuni. Kuna hadi Kanisa ndani ya milki ya CCM. Tuamke sasa!
Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!