Kama DOWANS ni rukhsa malipo na sisi UDSM je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama DOWANS ni rukhsa malipo na sisi UDSM je?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Feb 5, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,655
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliokuwa wakiandamana na kukabiliana na askari Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU). Hata hivyo, baadhi ya watu walitilia shaka kijana aliye kulia kama naye kweli ni mwanachuo. (Na Mpigapicha Wetu).
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,655
  Trophy Points: 280
  Ufisadi ndiyo kichocheo cha migomo na jamii kutoridhika na viongozi dhaifu tulionao hapa nchini.....................mwishowe tutadai wang'atuke au nguvu ya umma itawang'oa................................
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kikwete's brain don't work any more. Ameshajua wazi kuwa wakati wowote wananchi watamtosa .... so he is just waiting ,......time!!!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  ufisadi!, hebu fafanua vizuri. Naona turudishe compusosr national service training. Hata watendaji wetu wengi hawana uzalendo..............................................
   
 5. m

  mzee wa inshu Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hayo tunayo shuhudia kwa Waarabu yawezekana hawa viongozi wetu wanafikiri ni picha za filamu au michezo

  ya maigizo, ama wana fahamu ila kutokana na uwezo mdogo wa kufikiri na kutafakari wanadhani ni 'mlipuko'
  wa ghafla from nowhere.

  Ila kwa mtu yeyote aliye makini atafahamu kuwa hayo wanayofanya waarabu ni matokeo na matunda ya

  ufisadi wa muda mrefu ambapo watawala walijifanya viziwi na vipofu!

  Yapaswa ifahamike kuwa hali ya kuchoswa, kukata tamaa kutokana na ufisadi,dhuluma na ukandamizaji

  unaofanywa na Watawala ndivo vinavo sababisha haya tunayo yaona TUNISIA na MISRI hatimae Tanzania.

  Haya sio madogo kamwe na wala sio ya kupuuza kwani hata hao waarabu ilikuwa hivihivi.Ilianzia kwa

  makundi madomadogo kama wanafunzi wa vyuo, vifaru na mabomu vikatumika kuzima fikra hizo bila utatuzi

  wa kidiplomasia. Na punde muda ulipofika Taifa zima likahamasika vifaru na mabomu ya awali ikawa havifai tena mbele ya nguvu ya UMMA.

  So it is just a matter of time!


  'The more men you make free, the more freedom is strengthened and the greater is security of the state'

  state'
  (Fredrick Douglas-1869)
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  mbona mmetusahau sisi wazee wa Afrika ya Mashariki. au DOWANS, MaBOOM ni strategy yenu melekeze nguvu huko huku mkisubiri tufe wote?
   
Loading...