Salute!
Nimekuwa nikisikia na kuwa Dar watu hawampendi mkuu wa Mkoa mchapakazi Makonda. Sasa nitoe ombi kwa mheshimiwa rais ampeleke Mkoa wetu ule ,akatusaidie kutatua kero na kusukuma maendeleo.
Halafu tuone huo msimamo alionao, ambao umewashinda wanaume wa Dar, akapambane na nguvu ya Ujiji na viunga vyake. Halafu inasemekana yeye ni jasiri atatufaa sana maana kule kuna watu wanaojiamini sijawahi kuona . Nataka kuiona nguvu halisi ya Kipenzi chetu huyu katika kuleta maendeleo.
Tanzania ni kubwa ila ina mipaka yake na mwisho wake. Karibu mtani, maana yule mtani aliyeko huko siku hizi simskii tena nasikia ni major general wa jeshi,spidi yake imepungua, sijui kwani.
Tulashashe Mtwale niwegeere.
Nawasilisha!