Kujiremba na kujichubua ngozi ni mambo mawili tofuati. Kujiremba ni kupaka rangi kucha, kusuka, kutia Hina, mambo ya Lipsitck, nguo maridadi, kujifukiza ubani na kujitia uturi, pafyumu, kutinda nyusi. mambo haya hayana madhara lakini kujichubua ngozi hata watu wa Dermatology wanakataa.Kwaio hutaki wajirembe ..! huo msemo usha kuwa used hautumiki tena. waache dada zetu wapendeze.
Tunaanza mgomo, anayetumi mkorogo haolewi.
Nikuletee mkorogo uliochanganywa na maziwa ya kitimotoduh! Labda hiyo itasaidia.
Nikuletee mkorogo uliochanganywa na maziwa ya kitimoto
Kitu mkorogo hadi kucha zinabadilika rangiakaaa! Black is beauty. Lol
Kitu mkorogo hadi kucha zinabadilika rangi
Kuna vyumba viwili havina mtu nitashukuru kama ukihamiashemeji yako atanipiga kibuti bure nihamie kwako.
Kuna vyumba viwili havina mtu nitashukuru kama ukihamia
Haya nakuja si unaogopa kulala peke yako lol!sijazoea kulala mwenyewe tatizo.
Hahaha! Boss sikuwezi lol!mhhhh hii thread hii saa hizi...ngoj niwaache lol
arifu punguza spidi umeshaambiwa una shemeji na shemeji lenyewe ndio mimi hebu geuzia hapohapo urudi ulikotoka lol!Haya nakuja si unaogopa kulala peke yako lol!
arifu punguza spidi umeshaambiwa una shemeji na shemeji lenyewe ndio mimi hebu geuzia hapohapo urudi ulikotoka lol!