Kama biashara yako haina miaka kumi sishauri kuchukulia mkopo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
896
2,246
Shalom watu wa Mungu, Asalaam waleykum.

Ushauri wa bure; kama biashara yako haina miaka kumi usijichanganye kuchukua mkopo Bank, Dunia itageuka kuwa jehanamu yako.

Chukulia mkopo biashara ambayo una uzoefunayo wa muda mrefu unaijua in and out sio kubahatisha.

Mikopo imeuwa wengi kwa presha na msongo wa mawazo.
 
Inawezekana usemacho ni kweli ila mambo ya biashara ni complicated kama yalivyo mapenzi.
Kila mtu ana akili na bahati yake kwenye biashara.
Unaweza kuwa na uzoefu hata wa miaka 20+ na ukachukua mkopo pia ukashindwa kurejesha.
 
Back
Top Bottom