kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
unanishangaza, kwani inaumiza...?ndiyo....
unanishangaza, kwani inaumiza...?ndiyo....
unanishangaza, kwani inaumiza...?
sasa ndio kwanini unaogopa...?inaumiza mwanzoni badae inakuwa sukari
Hivi mie nina dhambi au..? Maana sioni picha hapa jamani..
aya miss chagga unaitwa huku mchaga mwenzangu uje useme!!Ha ha ha ha gfsonwin.. Ngoja nianze na miss chagga kwanza.. aje aseme baada ya kuona mtekenyeko wenye kutekenya kama alienda kubadilisha nguo yake ya ninda..
plz miss chagga..
unazo nyingi sana....zikumbuke.....
aya miss chagga unaitwa huku mchaga mwenzangu uje useme!!
Mhhh sister.. wanihukumu mbona..! Kila nikijaribu kukumbuka dhambi zangu nashindwa.. Yesu alizifuta zote na sasa niko msafi na huru..:smile-big:
Ha ha ha gfsonwin.. Nachompendea mie huyu ni kwamba anatuwakilisha vyema kabisa.. Ana elements zote za kichaga..
Nasubiri aje kulijibu hili kwa niaba ya akina dada..
Hata sister naomba ulijibu swali ambalo liko kwenye mtiririko wa mazungumzo hapa..
aya miss chagga unaitwa huku mchaga mwenzangu uje useme!!
Mimi hap ni mpitaji tu, wala siandika chochote..
Nawasoma tu sosoliso, miss chagga, gfsonwin, sister, kabanga, @honey faith
Mimi hap ni mpitaji tu, wala siandika chochote..
Nawasoma tu sosoliso, miss chagga, gfsonwin, sister, kabanga, Honey Faith
nakuona sexologist....Mimi hap ni mpitaji tu, wala siandika chochote..
Nawasoma tu sosoliso, miss chagga, gfsonwin, sister, kabanga, Honey Faith
nimebadilisha na nikakisafisha na maji ya vuguvugu gfsonwin asikuulize tenaMweeeeh miss chagga..! Kweli gfsonwin ulinishauri vizuri nivae maski lol..
:behindsofa: miss chagga naomba jibu..
nakuona sexologist....