miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
umeanza majunguKwa huyo miss unajitafutia ugonjwa wa moyo.Nakusii jiondoe haraka kabla haujafilisika😀
usikosee banaHata mie nitakosea mda si mrefu
umeanza majunguKwa huyo miss unajitafutia ugonjwa wa moyo.Nakusii jiondoe haraka kabla haujafilisika😀
usikosee banaHata mie nitakosea mda si mrefu
umeanza majungu
usikosee bana
Ulianza mie namaliza......
Kwa huyo miss unajitafutia ugonjwa wa moyo.Nakusii jiondoe haraka kabla haujafilisika😀
speakcable
katika vyote nimependa mguu wa kati unavyotetemeka
Honey Faith naamini wewe ni timu yangu kwa asilimia mia.. miss chagga akimwaga mboga wewe mwaga ugali..Ulianza mie namaliza......
Na tayari umenianza yaani hapa mapigo yanaenda kasi Honey Faith.. Naona kwa usalama wa kila mmoja ngoja nikasalimishe bastola yangu kituo cha polisi lol..
Noti inafu hiyo miss chagga.. Utasababisha gharika..
Ha ha ha ha.. Ticha gfsonwin unasemaje..? Unamaanisha huo wa mtoto au..?
Honey Faith naamini wewe ni timu yangu kwa asilimia mia.. miss chagga akimwaga mboga wewe mwaga ugali..
ananijua amwage aone
wee hujauona kama unatekenya unavyovibreti?
Huyu jamaa ukimuangalia vizuri anafanana na jamaa yangu THE BIG SHOW.king of network.
Swissme
sio kwamba wanapata mstuko hapana.
Yaani ticha umenifanya nimecheka hapa mpaka nimeulizwa nacheka nini.. Inawezekana watoto wa kike wamepata mstuko wa ziada hapo kati lol..
umri huo...?naogopa
umri huo...?