Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Bora hata usione mwenzangu!!!Hivi mie nina dhambi au..? Maana sioni picha hapa jamani..
Hivi mie nina dhambi au..? Maana sioni picha hapa jamani..
khaaa, kwani huyo mzima...?
yaonyesha.....washa mdisiable huku nyuma
unadhambi ya kutamani mali za wenzio
Kwani hun miss chagga wewe ni mali wenzangu..? Tutapigana bastola hapa..
yaonyesha.....
Mbona siku hizi unanitenga?
Kwani hun miss chagga wewe ni mali wenzangu..? Tutapigana bastola hapa..
Mbona siku hizi unanitenga?
kwa sababu nipo.. am sorry nimekosea namba
mimi mali ya wote na Mungu
Nikutenge wewe tena Honey Faith..? Kamwe haitatokea.. Huyu miss chagga ananichezea sharubu hapa lol..
Mweeeeh..! Hebu ifafanue hiyo mali ya wote.. Mali kivipi.. matiriali au fizikali au spirichuali..?
cc Honey Faith..