Wamagharibi na marekani ni watu wabaya sana, yaani walikuwa wanataka ashindwe. Sasa kashinda wanasema eti kunaudanganyifu. Damu ya Gaddafi itaendelelea kuwalilia tu.
Alafu baadhi yetu waafrika tunashangilia eti gadaffi alikuwa mtu mbaya. Kwa kutudhalilisha sasa wanatulazimisha eti tuoane jinsia moja ili watupe msaada. JAMANI WAAFRIKA WENZANGU TUSIKUBALI KUTENGANISHWA KWA KUTUMIA TOFAUTI ZA IMANI ZETU ZA DINI. WAZUNGU WAMESHAGUNDUA KWAMBA WAKIINGIA KWA GIA YA UISLAMU NA UKRISTU TUTACHINJANA. KUWENI MAKINI SANA...........