khabari za sasa wana jamii wa jukwaa hili. Kuna swala nmelifkiria kwa muda sana inabidi niwashilikishe tu. Ilianze kipindi kile cha xtream ya tigo(unlimited msgs),ikifika tym ya kulala msg ztaanza, mara 'umevaaje leo','mimi nmelala hv','ningekuwa hapo ningefanya hv'.......mara wanaanza fanya mapnz kwa kuimagn(via sms), mwsho wa siku...masterbratn 4 boyz(hp na galz mnaishia huko huko).............. KAMA UPO KWENYE KUNDI LA HAWA JAMAA,ACHA KUANZIA LEO COZ NI ZAIDI YA UJINGA.