Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Mkuu, Ngabu natambua ndani ya jukwaa hili wewe ni miongoni mwa watu makini na wala siku zote huwa hukurupuki ktk "sensitive issues" Nakusihi ktk hili vuta subira tu, na pia usikurupuke tena kama ulivyofanya wakati wa tukio la Tundu Lissu.
Wala sijakurupuka kamanda.

Dizaini kama vile hujui maana ya neno ‘kukurupuka’.

Kwa tukio la Tundu Lissu nilifanya nini?
 
Punguza Sana assumption Mkuu mwanzo umesema DCMC ni karibu na eneo la tukio hapa jamaa kakueleza umekimbilia Tena suala la SECURITY, Makamanda mbona mnayumba sana

SECURITY is priority #1.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Tumeshindwa kuchunguza Mapapai, Mbuzi na Maparachichi mpaka leo tutaweza kuwatafuta wasiojulikana?
 
Nani ata verify vipimo havijachakachuliwa kisiasa?
 
Anaweza kupigwa, anaweza kupiga, anaweza kuzusha, na anaweza kuua.

Kwa ufupi, anaweza mengi tu.
Mkuu hapo umejibu vizuri sana. Sasa tuwaulize hao wapelelezi wetu , kwa nini hawampimi tumalize shauri? Maana hata kama makamanda hawapendi, yule si angepimwa tu? Na anayepima sio makamanda. Inashangaza inifwakti
 
An independent doctor or something like that...
That is a rare commodity in the current atmosphere of fear.

Leo nilikuwa nasikiliza BBC World Service wanamnanga Magufuli kuhusu kutangaza Covid-19 imeisha Tanzania.

Wakawa wanamuhoji daktari mmoja wa Tanzania, wanasema hataki kutaja jina lake kwa sababu anaogopa serikali itamfanya mbaya.

Sasa watu kuzungumza tu wanaogopa.

Kwenye kumpima Mbowe sina hakika kama kuna independence.
 
Well, kama hamna imani ya uwepo watu wanaoeweza kuaminika, basi tena. We’re screwed.
 
Lakini pia bado tutakuwa hatujasolve tatizo,kwani kuwa na kilevi hakukuzuii kuvamiwa na kupigwa,Mbowe maisha yake yote anakunywa Pombe na hajawahi kukutwa na hali kama hii.
 
Kwa mbowe mtumie sayansi ila corona itumike kupiga nyungu, ni uzwazwa uliopitiliza
 
Anatumia kilevi toka enzi za Nyerere,kwenye awamu hii kimebadilika nini?
 
Mbali na blood alcohol level,Madaktari wanaweza kutambua kama jeraha ni la kuanguka au la.
Sijaona hili kwenye ripoti ya polisi.
 
Hii ilitokea kwenye cross-examination ya Urio mahakamani aliyoifanya wakili John Mallya!
Zilikuwa enzi za udhalimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…