Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,534
- 146,104
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.Wewe huna akili ?
Kwa hatua zilizofikiwa hakuna kamanda wa chadema anaweza kuogopa chochote , fanya uchunguzi mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Tatizo makamanda wamebaki tweeter, jf na IG pekee mkuu, field walishasepa kitambo, mwaka wa taabu sana huu.Kwa hatua zilizofikiwa hakuna kamanda wa chadema anaweza kuogopa chochote , fanya uchunguzi mdogo
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna.
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
Makamanda hawaelewi kitu mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwà ninavyoifahamu DODOMA, Mbowe hakupaswa kabisa kupelekwa huko DCMC na Sijui walitumia Protocal zipi kumpeleka kule Wakati General ipo na Hospitali ya kisasa kabisa Benjamin Mkapa ipo na ina vipimo vya kisasa kabisa na watoa huduma wenye weledi wakutosha kabisa!! Hili suala linafikirisha sana!??
Makamanda waoga sana aisee 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mnaogopa nini makamanda? tulieni kaeni mkao wa kula vyombo viko kwa hatua za mwisho za uchunguzi.
Anaweza kupigwa, anaweza kupiga, anaweza kuzusha, na anaweza kuua.Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?
Amandla...
Sijui.Hiyo sayansi imeshaanza kutumika kukata mzizi wa maambukizi ya korona?
Hili swali ni la maana sana. Kwamba mtu akilewa kupigwa ni halali?Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?
Amandla...
Kwa hiyo?Anaweza kupigwa, anaweza kupiga, anaweza kuzusha, na anaweza kuua.
Kwa ufupi, anaweza mengi tu.
Unasadiki sana wewe!Hili swali ni la maana sana. Kwamba mtu akilewa kupigwa ni halali?
Chama cha mapinduzi kimejaa wapumbaf wengi sana akiwemo huyu Nyani.
Sii bora huyu ambaye hata kama alilewa hajavunjia heshima watu huko alikokuwa na akajiondokea kurudi kwake. Ni tofauti na yule mwenyekiti anaye rudi usiku kisha anavizia shemeji zake na kuwabaka hadi kutia mimba.
Yawezekanayo ni mengi.Kwa hiyo?
Kwa hiyo cha msingi ni kujua kama kweli ameumia ( imesemwa Bungeni kuwa hakuumia) na kama ameumia, ameumiaje. Suala la ulevi ni sekondari. Kama amepiga mtu au kuua mtu navyo vinaweza kuthibitishwa.Anaweza kupigwa, anaweza kupiga, anaweza kuzusha, na anaweza kuua.
Kwa ufupi, anaweza mengi tu.
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.
Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari.
Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana.
Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo spitali aliyopelekwa zikoje.
Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake.
Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna.