Zitanisumbua mimi au wewe?
Mimi napenda vitu vinavyonisumbua (kama lugha za kigeni) kwa sababu ndivyo vinavyopanua wigo wa uelewa wangu.
Labda tatizo letu wengi si kwamba tunapenda vitu vinavyotusumbua, bali hatupendi vitu vinavyotusumbua.
Hata Roma ilijengwa kwa kusumbuka.
Inatokea umeishi na mpenzi wako wa ME/KE katika mahusiano kwa miaka kadhaa hivi ambapo mlianza kufurahia maraha ya mapenzi bila kukwazana au kutofautiana kwa namna yoyote ile ghafla mmoja wenu anampata mpenzi mwingine na anakuja kukuambia ghafla kwamba hataki kuendelea na mahusiano na wewe tena pasipo kukwambia sababu iliyompelekea kufanya hivyo ni nini hasa,. Je utachukua hatua gani na mlipendana kwa dhati?,. Mchango tafadhali

hatari shemejiiiii...............inauma,inauma sana....Pamoja sana wadau.lakini kutoswa noma, kwani muda,pesa,moral help na penzi huwa vimepotea.Msinikumbushe machungu mie.