Kama asingelikuwepo mtu huyu...!

Ufisadi ni nini?
Aina ya ufisadi awamu ya 5!
-Kutoa tenda kama anagawa karanga,hapa kama anapata 10% nani atajua?
-kaja na mradi wa vitambulisho,kila kimoja 20,000 na kachapisha mwenyewe!Ni nani anayejua gharama halisi za vitambulisho hivyo??????
 
Kwani Tanzania hivi sasa ishakuwa shamba la babu?
 
Kama isingekua mtu huyu,,,,,,,,,,,wale wawili wasingekua NDANI,,,,,,,,,,,,kama isingekua mtu huyu, yule mmoja asingekua NJE mpaka leo
 
Acha kujitetea kijana..........watu tushachanganyikiwa sa hv..........hapa sio mim wala wew....ni limjamaa limoja hv


πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mkuu una uhakika sio wewe kweli. Au mimi ndio nimevurugwa
 
Siasa ya ujamaa na kujitegemea....

Kwenye siasa hakuna Mahaba, kwaherini.
Wakati wa nyuma hakuna Mtanzania alikwenda embassy za EU au USA ushitaki haki zake za binadamu zinavunjua.
Ilikuwa tafauti Mwalim NYERERE Anapigani haki za binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…