Kama asemayo Tarimba Abbas ni kweli basi hii nchi tunakwama pakubwa

Umeongea kitaalam kabisa Chief. Basic concepts of Immunology.
Ni habari ya kusikitisha sana! Mungu ampe uwezo wa kuhimili hilo pigo. Hata mimi nadhani kuna kitu ambacho kimechangia hivyo vifo. Hao walikuwa watu wazima na hata shirika la Afya Duniani maelezo yao yanasema mortality rate ya dengue ni less than 1% kama ma Dr watafanya intervation mapema.
 
Wapumzike kwa amani , cha kushangaza ni hiki , mtu una hela halafu wanao wanaishije Tanzania ?
Dah mkuu, ni vile kifo ni kifo tu hakina huruma. Ila maisha ya huyu mzee toka akiwa pale bodi ya kubahatisha hayakuwa ya level zetu huku. Kala bata Sana tu na family yake.

Pole Sana Kwake maana vacation zake na vijana wake zilikuwa sio poa.
 
Huu ugonjwa usikie tu uliponikumba hata nguvu za kutoka kitandani nilikuwa sina nilichofanya niliweka godoro chini nikawa natambaa Kama Kobe kufata maji siku moja nilihisi kupoteza fahamu nikiwa toilet kidogo nianguke nikashikilia komeo la mlango,Nikasema Sasa kifo kinakuja nikaamua kunywa maji kwa wingi na panador asikwambie mtu maji ni dawa kubwa sana yaan lile litre 13. Ndani ya siku 3 likaisha happy nikapata nafuu.
 
Pole sana mzee Tarimba. Kweli inauma sana. Hivi mpaka sasa hakuna dawa ya dengue?.
 
Halafu nahisi pia hawa vijana hawakua exposed kwenye enough allergens wakati wanakua hivyo kinga zao za mwili hazikua strong enough (as per hygiene theory) kupambana na visababishi maana wengi tu wanaugua dengue na kurecover

Wapumzike kwa amani
Ni kweli mkuu kuna mshkaji wangu yy na mkewe walipatwa na homa hii ya dengur + maralia lkn walirecover within a week na life lao la kuungaungatu.
Sasa imagine hao mboga saba full doze lkn homa ya dengue imewachukua....kweli maisha plus nayo yana msaada wake!
 
Nimemsikiliza kwa umakini wakati akizungumza kwa uchungu kwamba kapoteza watoto wake wawili wakiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya dengue.

Just imagine mtoto mmoja miaka 23 ambaye alikuwa rubani, mwingine miaka 26 huyu alikuwa fundi mechanics wa ndenge. Fikilia kama mzazi umesomesha watoto wako kwa kiwango hicho alafu ghafla homa ya ndegue inawachukua kutoka duniani how can u explain this?

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa yule mtoto wa mzee malechela aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa nchini alitumbuliwa kwa kosa la kutangaza kwamba homa ya ndegue imeingia Tanzania. Sasa sijui mpaka sasa serikali imeishakiri uwepo wa homa hyo au labda bwana Abbas Talimba anatuongopea watanzania. Anyway pole zangu kwa wafiwa kwa msiba mzito sana.
Nadhani ile ilikuwa Zika mkuu.
 
Serikali wameshakiri uwepo wa homa ya dengue...

Hata matangazo yake yapo ya tahadhari, yanatolewa na wizara ya afya...

Cc: mahondaw
 
Huu ugonjwa usikie tu uliponikumba hata nguvu za kutoka kitandani nilikuwa sina nilichofanya niliweka godoro chini nikawa natambaa Kama Kobe kufata maji siku moja nilihisi kupoteza fahamu nikiwa toilet kidogo nianguke nikashikilia komeo la mlango,Nikasema Sasa kifo kinakuja nikaamua kunywa maji kwa wingi na panador asikwambie mtu maji ni dawa kubwa sana yaan lile litre 13. Ndani ya siku 3 likaisha happy nikapata nafuu.
HongerA mkuu. Ukishaugua Viral disease ukapona hutokuja kuugua tena maishani mwako. Coz mwili unakua umejenga Immune. Ni sawa na mtu aliewahi kuugua Surua, Polio
Viral diseases hayana dawa inategemea Mwili wako utaweza kupambana vipi.
Refer SURVIVAL OF THE FITTEST BY DARWIN!!!
 
Nimemsikiliza kwa umakini wakati akizungumza kwa uchungu kwamba kapoteza watoto wake wawili wakiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya dengue.

Just imagine mtoto mmoja miaka 23 ambaye alikuwa rubani, mwingine miaka 26 huyu alikuwa fundi mechanics wa ndenge. Fikilia kama mzazi umesomesha watoto wako kwa kiwango hicho alafu ghafla homa ya ndegue inawachukua kutoka duniani how can u explain this?

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa yule mtoto wa mzee malechela aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa nchini alitumbuliwa kwa kosa la kutangaza kwamba homa ya ndegue imeingia Tanzania. Sasa sijui mpaka sasa serikali imeishakiri uwepo wa homa hyo au labda bwana Abbas Talimba anatuongopea watanzania. Anyway pole zangu kwa wafiwa kwa msiba mzito sana.
Na waliomtumbua malecela kwa kusema ukweli wawajibishwe au wawajibike vinginevyo gharika linakuja
 
Alitangaza ugonjwa wa Zika kama sikosei sio Dengue. Pole sana Tarimba na familia.
Nimemsikiliza kwa umakini wakati akizungumza kwa uchungu kwamba kapoteza watoto wake wawili wakiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya dengue.

Just imagine mtoto mmoja miaka 23 ambaye alikuwa rubani, mwingine miaka 26 huyu alikuwa fundi mechanics wa ndenge. Fikilia kama mzazi umesomesha watoto wako kwa kiwango hicho alafu ghafla homa ya ndegue inawachukua kutoka duniani how can u explain this?

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa yule mtoto wa mzee malechela aliyekuwa mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa magonjwa nchini alitumbuliwa kwa kosa la kutangaza kwamba homa ya ndegue imeingia Tanzania. Sasa sijui mpaka sasa serikali imeishakiri uwepo wa homa hyo au labda bwana Abbas Talimba anatuongopea watanzania. Anyway pole zangu kwa wafiwa kwa msiba mzito sana.
 
Pole sana mzee Tarimba. Kweli inauma sana. Hivi mpaka sasa hakuna dawa ya dengue?.
Hauna dawa ila siyo hatari sana. Wengi ya wanaougua hupona. Na wanasema ukiwahi hospital vifo huwa ni chini ya 1%. Hospital mgonjwa hupelekwa kuu-control ugonjwa tu siyo kuutibu. Kuua, tena watu wazima wawili huwa ni jambo la nadra na huenda kulikuwa na sababu nyingine iliyochangia. Angalau wangekuwa watoto wadogo huwa mara nyingine hutokea.
 
Hakuna ugonjwa usiokuwa hatari. Cha msingi ni kinga yako ya mwili inao uwezo wa kupambana na specific viral disease???
 
Pole kwake.Itakuwa wanae hata malaria huwa hawaugui. Sasa wamezoea kuishi nchi za nje wakija Bongo,mbu wa ndegue akiwauma ni hatarii.
 
Back
Top Bottom